Tuna Rais wa Ajabu kweli kweli

Tuna Rais wa Ajabu kweli kweli

Mkuu yuko sahihi kwa hili ila ni ngumu kuyaelewa maandiko kama hujayasoma kuna baadhi ya mambo tuyafanyie upembuzi yakinifu kabla ya kuleta humu inawezekana mtoa mada ni kilaza kushinda mzee baba prezidaaaa le pedesheee konki master mzee wa PhD ya korosho
 
Hao Si Manabii Wa Mungu, Ni Wajanja Fulani Hivi. Manabii Wa Mungu Mara Nyingi Waliwaambia Wafalme Ukweli Na Hawakuwa Na Urafiki Na Watawala
 
wamisiri walipoamua kujenga piramidi walijenga................
 
Mkulu ndio kashasema, Bisha ukapimwe mkojo
 
Siwezi kushangaa kwa sababu alisema Sadamu Hussen Aliuawa na wananchi wa Libya badala ya GadaffiView attachment 966630
Yuko sahihi. Nyerere alishindwa kuutekeleza mradi kwa sababu alinyimwa teknoloji kwa kisingiziio cha mazingira! Hata JPM bila kukimbilia Misri au China, mradi huu wa Stieglers Gorge ilikuwa ni ngoma nzito kuweza kuutekeleza! Yuko sahihi
 
Hao Si Manabii Wa Mungu, Ni Wajanja Fulani Hivi. Manabii Wa Mungu Mara Nyingi Waliwaambia Wafalme Ukweli Na Hawakuwa Na Urafiki Na Watawala
 
Manabii Gani Wanakula Bata Na Watawala Badala Ya Kuwakemea Kunako Nyendo Zao Za Utawala? Mara Nyingi Manabii walikuwa na bifu kubwa na wafalme. Kazi Za Manabii Ni Kuwaambia Watawala Ukweli Bila Woga Wala Unafiki. Watawala Hawakuwapenda Manabii. Hawa Siyo Manabii Ni Sehemu Fulani Ya Watawala (mawakala Wa Watawala). Ni Usanii Mtupu Kuwaita Manabii Wakati Hawafanyi Kazi Za Kinabii Na Hawajawi Kuifanya Na Hawataweza Kuifanya Kwa Kuwa Wao Wenyewe Wapo Upande Wa Watawala.
 
Siwezi kushangaa kwa sababu alisema Sadamu Hussen Aliuawa na wananchi wa Libya badala ya GadaffiView attachment 966630
Nyie ndo huwa mnasababisha jf wataalam tunai'hack' kwa ajili ya upuuzi kama huu!! Hivi wewe uliyeleta uzi umeisoma vzr baibo na kuielewa?! Hivi Mfalme Herode aliposema watoto wa kiume wauawe akiwepo Yesu unajua alikimbiziwa wapi?! Mods huu ni dhihaka kwa Mh. Rais kwanza hauna ukweli halafu watu wanaendelea kumdhihaki rais pasipo na ukweli wa jambo lenyewe. Nashauri uzi huu ufutwe haraka!!
 
Kwani misri na Kuwait wapi mbali
 
Back
Top Bottom