


Ameongea kinabii zaidi, si unajua ana roho ya kifalme hivyo kapata roho ya kinabii na alizungukwa na manabii na viongozi wa dini wengi hivyo, alishukiwa na upako wa roho mtakatifu!Siwezi kushangaa kwa sababu alisema Sadamu Hussen Aliuawa na wananchi wa Libya badala ya GadaffiView attachment 966630
Umesahau alisema yeye ndie atakuwa kiongozi wa malaika!Ameongea kinabii zaidi, si unajua ana roho ya kifalme hivyo kapata roho ya kinabii na alizungukwa na manabii na viongozi wa dini wengi hivyo, alishukiwa na upako wa roho mtakatifu!
WE BOYA KWELI. MWOGA MPAKA UNASHINDWA KUJICHUNGULIA UCHI WAKO, KWANI KUNA NINI KIBAYA KWENYE HIZO POST?Jamii Forums itafungwa muda si mrefu.....naona watu mnajiachia tu!
dogo nenda kwenye jukwaa la wadada la ushakunaku.. huku kwa wakubwa hapakufaiAlifaa kuwa Comedian huyu.