Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania.
Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
In short hakuna sababu za kutompigia kura Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, mpaka 2030 Tanzania itakuwa mbali Sana kiuchumi, Tunakushukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
# OCTOBER TUNATIKI ✅
Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache
-mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k
- nyongeza za mishahara kila mwaka
- madaraja kwa Watumishi kila mwaka
- CT scan ipo Hadi katavi
- vituo vya mama na mtoto kila mkoa na wilaya
- scholarship inje inje
- shule mpya kila mkoa kila WILAYA
- boom elfu 10
- matreka ya yamejaa kila Kona ya nchi
- diplomasia imekua
- ajira zakutosha
- mikopo ✅
- masoko ya mazao ya kilimo✅
- mtaala mpya wa Elimu
-vyuo vya veta kila kata
- amekuza sector binafsi
- mazingira mazuri ya biashara nchini
- miradi yote ya kimkakati imekamilika
- Elimu Bure kutoka awali mpaka kidato Cha sita
- madaraka yamekamilika nchi nzima