GAMBLER JF-Expert Member Nov 22, 2009 303 11 Jul 15, 2011 #1 Habari Naomba msaada wenu, kwa kiswahili Tuna fish anaitwaje?
Mwendabure JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,138 1,040 Jul 15, 2011 #2 GAMBLER said: HabariNaomba msaada wenu, kwa kiswahili Tuna fish anaitwaje? Click to expand... TUNA FISH ni Tasi.
GAMBLER said: HabariNaomba msaada wenu, kwa kiswahili Tuna fish anaitwaje? Click to expand... TUNA FISH ni Tasi.
Gaijin JF-Expert Member Aug 21, 2007 11,812 5,284 Jul 15, 2011 #3 Mwendabure said: TUNA FISH ni Tasi. Click to expand... Hapana tuna si tasi bali ni jodari
GAMBLER JF-Expert Member Nov 22, 2009 303 11 Jul 15, 2011 Thread starter #4 Ni tasi au jodari? Ipi sahihi?
Mawenzi JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,251 345 Jul 15, 2011 #6 gaijin said: hapana tuna si tasi bali ni jodari Click to expand... ni jodari. Samaki wa magufuli walikuwa jodari. Ni watamu sana na wana soko sana. Wanaitwa kuku wa baharini!! Mara nyingi wanakuwa canned
gaijin said: hapana tuna si tasi bali ni jodari Click to expand... ni jodari. Samaki wa magufuli walikuwa jodari. Ni watamu sana na wana soko sana. Wanaitwa kuku wa baharini!! Mara nyingi wanakuwa canned
nzalendo JF-Expert Member May 26, 2009 10,654 9,790 May 23, 2015 #8 Vandullahvic said: Na Tasi kwa english anaitwaje Click to expand... tuna fish=we samaki tasi=institute:becky: teh teh aaaarg Ila tuna Fish ni Jodari
Vandullahvic said: Na Tasi kwa english anaitwaje Click to expand... tuna fish=we samaki tasi=institute:becky: teh teh aaaarg Ila tuna Fish ni Jodari
A Alex Mponela JF-Expert Member Jan 5, 2013 254 109 May 23, 2015 #10 Kigogo said: Anaitwa mkundaji kwa kiswahili Click to expand... Unh! We usije ukatukana hapa! Ni JODARI bwana acha kituzingua!
Kigogo said: Anaitwa mkundaji kwa kiswahili Click to expand... Unh! We usije ukatukana hapa! Ni JODARI bwana acha kituzingua!