Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Ndugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi kama watu wa Mpira hatuna budi kuungana na familia yake katika kipindi hiki kigumu
Mungu amponye kwa hili tatizo lililomfika
Niwaonye pia viongozi na wapenzi wa yanga kama kuna kitu wanakifanya nyuma ya pazia waache Mara moja
Mambo ya kuvunjiana nazi yashapitwa na wakati
Mungu mbariki manara,Mungu ibariki simba s.c