Tumuunge mkono ndugu Humphrey Polepole

Mh H Polepole endelea kutoa darsa usirudi nyuma. Mafisadi na vibaraka wao watafanya kila lililo kwenye uwezo wao kukukwamisha mwisho wa siku watalegezwa na nguvu ya wanafunzi wako ambao unawapa elimu ya uzalendo na ukombozi wa fikra.
 
... yaani unashindwa kufanya utabiri rahisi namna hiyo?
1) Polepole chini ya dikteta ni muimba mapambio mzuri na hata kusaidia kuua hataona aibu!
2) Polepole kama mkulu ni dikteta atakaetupimia mpaka vibaba vya unga majumbani mwetu, maana anajua kila kitu!
HAFAI: ... NOT A HUMAN BUT A SADISTICALLY PROGRAMMED ROBOT!
 
Angalia hoja yake, si chuki zenu binafsi
Kumbuka hoja zake zake zinahubiriwa CCM, CHADEMA, MISIKITINI na MAKANISANI
Dip a spoon in shit, then clean it with all the soap in the world, ... and even heat it red hot, but still I won't, knowingly, eat using that spoon! .... THAT SPOON IS POLEPOLE!
 
Unasema tuwe wakweli, unaishia kuwa muongo!
Ni shetani gani anasita kuunga mkono mtu mwenye historia mbaya?
Labda ni shetani wa kabila lenu!
LOWASSA aliungwa mkono na Chadema
HAMZA aliungwa mkono na CCM
Shetani ana wivu pia, yaani hataki kuzidiwa UOVU!
 
Huyu hata kidole simuungi. Hafai. Ni mchumia tumbo na msaka ngawira ambaye sishangai kumuona akifanya umalaya wa kisiasa.
 

Polepole , nikiongozi mzuri anamaono sana


Acheni atueleze
 
Jamani njaa mbaya. Polepole tulia angalia tumbo lako ukijichanganya mwanangu hata hako ka million 12+ kwa mwezi utakakosa. Tuliza kalio na domo hilo.
 
.
Huyu mtu ana stress hivi sasa. Ana akili nzuri lakini ni wa hovyo. Watu kama Polepole ni hatari Sana. Hawana chochote zaidi ya unafiki.




Angefanya hiv kipindi cha mwendazake ningemuunga mkono....
ANAUNGWA MKONO NA WENGI. HAIPUNGUZI KITU USIPOMUUNGA MKONO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…