Mkuu ni wewe Bwashee?😂Watendaji wengi hapa Tanzania ni bure kabisa!
Wao wanawaza kuchapana bakora tu.
Hahahaaaa........!Mkuu ni wewe Bwashee?😂
Au umekunywa ile mbege ya jana kushushia na ndizi vitarasa!
Ndugu,umeandika mengi sana,na ya msingi,lakini jambo la msingi zaidi ni kutengeneza mfumo. Kuwa na jeshi la mtu mmoja hakusaidii utendaji makini na wa haraka wa kutatua changamoto zilizopo toka juu mpaka mashinani huko chini.Kama kuna JANGA kubwa nchi hi basi ni wafanyakazi na watendaji wengi wa serikalini; hawana ubunifu, ni business as usual always; wanacho jali wao ni kwenda na kurudi kazini, hawajali sana matokeo ya kwenda kwao kazini mara kwa mara; nitafafanua.
1. Mwezi December mara baada ya kutoka matokeo ya darasa la saba, tulimsikia waziri mkuu pamoja na waziri wa TAMISEMI kaka Suleman Jafo wakiwaelekeza wakurugenzi kuhakikisha yanajengwa madarasa ya sekondari haraka kabla ya mwezi March; nina hakika hilo litafanyika, cause waziri mkuu na waziri wa TAMISEMI wanajua rasilimali za kutekeleza hilo zipo, but swali ni hili, huko wilayani na tarafani kuna waratibu na maafisa elimu, wapo pia ma DED, kazi mojawapo kwa watu wa elimu ni kujua maendeleo ya elimu katika eneo lao la utawala, wanatembea shule, wanakagua maendeleo ya kielimu shuleni na of course wanakagua hata ufundishaji wa walimu kwa watoto wetu, wao ndio wana ratibu hata mitihani ya MOCK na wanaratibu hadi matokeo na usahihishaji wa mitihani hiyo, na report zinaandikwa, kama kweli hayo yote yanafanyika then inakuaje wanashindwa ku predict ufaulu wa watoto kwenda sekondari and hence maandalizi ya vyumba vya darasa la 9 kufanyika mapema? Kweli hao ma DED ambao wengine ni pHD holders, wanasubiri hadi PM aseme? Wao wenyewe hawana intiatives hata kidogo? Kwanini tuwalipe mshahara???? SOmetimes mhe akiwa anatumbua watu, tunweza kumuona kama ni katiri sana but watendaji wengi wanaboa sana.
2. Jana nimeiona clip fulani ya mama Gwajima, waziri wa afya akiwa Mwanza nadhani, yaani baada ya kufunga mfumo sijui wa kukusanya fedha, mapato yamepanda kwa zaidi ya 400% How, nilishangaa sana, so zile pesa tulizokua tunalipishwa hospitals before mfumo hazikua zinafika sehemu husika? Halafu tunashangaa MSD kuzidai halmshauri nyingi pesa nyingi na sisi tunapeleka lawama serikalini, kumbe pesa zinakusanywa na zinapelekwa KIBRA, kweli?
Wakati fulani niliwahi kuuliza sehemu nani hasa shareholders wa Azania bank; nilikuja kugundua ni mashirika giant ya hifadhi ya jamii. NSSF na PPF kabla haijaunganishwa ni hizo zingine, kufanya vizuri kwa bank ya Azania ndio mafanikio ya NSSF na PPF, but gues what? Hayo mashirika hayana account kwenye bank wanayoimiliki wao wenyewe; hivi bado tunaweza kusema sasa hivi mashirika yetu hayafanyi vuziri kwasababu ya utaalamu kweli? Bongo hatuna tatizo hata moja la elimu, tunashida ya watu kukariri. Nakumbuka kabla ya ujio wa mhe No 1, kile kiwanda kinacho tengeneza Transformer za umeme sijui ni Tanareck; TBS inazitambua transofrmer za kiwanda kile kwa ubora, Tanesco ni shareholder wa hicho kiwanda, again gues what, Taneseco hawakua wateja wa transformer wa kiwanda kile. Swali la kijinga ni hili, hivi umeme Tanzania umekua monopolized na Tanesco, unategemea nani anunua bodhaa unazo zitengeneza kama wewe mwenyewe huziamini? HAlafu MD wa Tanesco ni PHD holder, mwenyekiti wa body nae ni msomi tu mwenye vyeti vyake. Tuna tatizo kubwa sana, elimu haijatusaidia kiviile sana.
Hata uombe vipi lakini nchi bila ya kuwa na sensa ya watu ni bure.TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule iliyopo Ubungo wanafunzi wake wakisomea nje na kukaa chini. Akizungumza kwa uchungu mkubwa Mh Rais aliwaagiza viongozi wa Manispaa ya Ubungo na RC wa Mkoa kushughulikia tatizo hilo haraka.
Baada ya kauli ya Mh Rais, yametolewa maelekezo ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwenye moja ya Chombo cha habari ambacho kinajulikana kwa jina la NJOMBE PRESS TV. Mkurugenzi huyo amesema "Awali ya yote niyapokea maelekezo ya Mh r Rais, Sisi tangu tulipoona hiyo clip hatukukaa kimya kila mtu alishangaa kwa sababu ni taarifa ambazo hazikuwahi kufika ofisini kwangu":- Beatrice Dominic Mkurugenzi wa Manisipaa ya Ubungo.
Anasema kila mtu alishangaa kwa kuwa hizo taarifa hazikuwa kufika ofisini. Wakati Mkurugenzi anazungumza hayo mimi nimeifikiria kuwa yaani Mkurugenzi anashangaa! Yaani taarifa hazijafika ofisini? Hivi gari za Wakurugenzi zina kazi gani? Mkurugenzi anataka taarifa zifike ofisini? Nani amfikishie ofisini? Wilaya ya Ubungo kwa ukubwa wake ni ndogo kuliko kata yetu ya Ibaba Wilayani Ileje. Ni Wilaya ambayo Mkurugenzi anaweza kutembelea shule zake zote za msingi na sekondari kwa masaa matatu akamaliza Wilaya nzima. Lakini nimejiuliza Kama Mkurugenzi wa Ubungo, wilaya yenye kila aina ya rasilimali, wilaya ndogo kiasi hiki hawezi kujua changamoto za wilaya yake hadi yeye na wenzake wote WANASHANGAA! Vipi Wilaya ambazo ni kubwa kuliko mkoa wa Dar es salaam wote, Wilaya ambazo hazina rasilimali kama za Ubungo, ambazo tu hata barabara kwa msimu huu wa mvua hali ikoje? Ninazungumza Wilaya kama Namtumbo, Kalambo, Newala, Kiteto, Matela, Makete, Ileje, Chunya n.k huko hali ikoje? Hali ni mbaya. Dar es salaam ndo sura ya nchi kuko hivi, vipi huko kwenu?
Hali hii umenifanya nifikirie kazi ya kumuombea Rais iendelee, lakini wasio weza kuomba waendelee kumhurumia kwani baadhi ya Wasaidizi wake hawamsaidii bali wanamuongeza stress. Badala ya Mh Rais kupambana na ujenzi wa Taifa kwa kushughulikia mambo makubwa, lakini wakati mwingi amekuwa anapambana na mambo ambayo yangesimamiwa na hata mtendaji wa mtaa. Kutokana na uzembe mkubwa wa baadhi ya watu ambao Mh Rais aliwaamini kushindwa kuendana na kasi yake ndiyo maana mara kadhaa tumemuona Mh Rais anafanya kazi za VEO, WEO, DEO, DMO, DED, DC n.k
Watanzania wangejua ni channel ipi Mh Rais anafuatilia na wangeamua kutuma kila mtu clip ya matatizo hasa kwa upande wa Elimu tu kwa kila mtu sehemu alipo Mh Rais angeshaa kuwa hii ni Tanzania au ni Malawi? Mh Rais ukitaka kujua haya undaa kikosi independent cha watu hata 50 kwa nchi nzima ili wazunguke huko mitaani kama mazingira ya baadhi ya shule yanafanana na Tanzania mpya. Yapo maeneo ambayo hali ni mbaya kuliko hata Ubungo, lakini sidhani kama unajua. Zipo Wilaya zenye miti lakini utakuta watoto wanakaa chini.
Kuna tetesi nimesikia baada ya kauli yako ya juzi kuna baadhi ya maeneo toka jana viongozi hawajalala. Hawa unajiuliza wakisubiri Rais atoe tamko? Wao kazi zao ni zipi?
Kila mtu achague upande wake, Kumuombea au kumhurumia kwa kuwa na watu ambao si msaada kwake?
Huyo si wakuombewa wala kuhurumiwa bali ni wakulaani kwa nguvu zote maana Katiba imempa fursa ya kuteua watendaji anaowaamini toka kati ya Watanzania milioni 60 lakini yeye anateua wasiyo na uwezo wala ujuzi kwa kuwa tu ni homeboys au maswaiba. Wateule wake wanajua udhaifu wake na kwamba ni yeye tu ndo anaweza kutengua teuzi zake kwa hiyo kazi zao ni kungoja na kufikisha maagizo yake kwa wa chini yao ambao nao wanayapuuza. Awamu hii kila kiongozi kazi yake ni kufikisha maagizo toka juu!TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule iliyopo Ubungo wanafunzi wake wakisomea nje na kukaa chini. Akizungumza kwa uchungu mkubwa Mh Rais aliwaagiza viongozi wa Manispaa ya Ubungo na RC wa Mkoa kushughulikia tatizo hilo haraka.
Baada ya kauli ya Mh Rais, yametolewa maelekezo ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwenye moja ya Chombo cha habari ambacho kinajulikana kwa jina la NJOMBE PRESS TV. Mkurugenzi huyo amesema "Awali ya yote niyapokea maelekezo ya Mh r Rais, Sisi tangu tulipoona hiyo clip hatukukaa kimya kila mtu alishangaa kwa sababu ni taarifa ambazo hazikuwahi kufika ofisini kwangu":- Beatrice Dominic Mkurugenzi wa Manisipaa ya Ubungo.
Anasema kila mtu alishangaa kwa kuwa hizo taarifa hazikuwa kufika ofisini. Wakati Mkurugenzi anazungumza hayo mimi nimeifikiria kuwa yaani Mkurugenzi anashangaa! Yaani taarifa hazijafika ofisini? Hivi gari za Wakurugenzi zina kazi gani? Mkurugenzi anataka taarifa zifike ofisini? Nani amfikishie ofisini? Wilaya ya Ubungo kwa ukubwa wake ni ndogo kuliko kata yetu ya Ibaba Wilayani Ileje. Ni Wilaya ambayo Mkurugenzi anaweza kutembelea shule zake zote za msingi na sekondari kwa masaa matatu akamaliza Wilaya nzima. Lakini nimejiuliza Kama Mkurugenzi wa Ubungo, wilaya yenye kila aina ya rasilimali, wilaya ndogo kiasi hiki hawezi kujua changamoto za wilaya yake hadi yeye na wenzake wote WANASHANGAA! Vipi Wilaya ambazo ni kubwa kuliko mkoa wa Dar es salaam wote, Wilaya ambazo hazina rasilimali kama za Ubungo, ambazo tu hata barabara kwa msimu huu wa mvua hali ikoje? Ninazungumza Wilaya kama Namtumbo, Kalambo, Newala, Kiteto, Matela, Makete, Ileje, Chunya n.k huko hali ikoje? Hali ni mbaya. Dar es salaam ndo sura ya nchi kuko hivi, vipi huko kwenu?
Hali hii umenifanya nifikirie kazi ya kumuombea Rais iendelee, lakini wasio weza kuomba waendelee kumhurumia kwani baadhi ya Wasaidizi wake hawamsaidii bali wanamuongeza stress. Badala ya Mh Rais kupambana na ujenzi wa Taifa kwa kushughulikia mambo makubwa, lakini wakati mwingi amekuwa anapambana na mambo ambayo yangesimamiwa na hata mtendaji wa mtaa. Kutokana na uzembe mkubwa wa baadhi ya watu ambao Mh Rais aliwaamini kushindwa kuendana na kasi yake ndiyo maana mara kadhaa tumemuona Mh Rais anafanya kazi za VEO, WEO, DEO, DMO, DED, DC n.k
Watanzania wangejua ni channel ipi Mh Rais anafuatilia na wangeamua kutuma kila mtu clip ya matatizo hasa kwa upande wa Elimu tu kwa kila mtu sehemu alipo Mh Rais angeshaa kuwa hii ni Tanzania au ni Malawi? Mh Rais ukitaka kujua haya undaa kikosi independent cha watu hata 50 kwa nchi nzima ili wazunguke huko mitaani kama mazingira ya baadhi ya shule yanafanana na Tanzania mpya. Yapo maeneo ambayo hali ni mbaya kuliko hata Ubungo, lakini sidhani kama unajua. Zipo Wilaya zenye miti lakini utakuta watoto wanakaa chini.
Kuna tetesi nimesikia baada ya kauli yako ya juzi kuna baadhi ya maeneo toka jana viongozi hawajalala. Hawa unajiuliza wakisubiri Rais atoe tamko? Wao kazi zao ni zipi?
Kila mtu achague upande wake, Kumuombea au kumhurumia kwa kuwa na watu ambao si msaada kwake?
Wewe jiandae kumsindikiza babako kwa pirato wa dunia..!!TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?

Hili la uteuzi kwamba sijui mtoto wa dada au laa, nadhani na lenyewe nalo ni jambo tunalo kariri tu; mifano niliotoa hapo juu, regardless ni mtoto wa nani but wanazo elimu, wengine ni Phd holders kabisa, kwani GM wa NSSFna PPF wana vyeti gani? Achilia mbali uhusiano wao na aliyewateua, ma DED na ma RAS wa wilaya na mikoa wengi wao si ndio wana vyeti hivyo hivyo vikubwa vikubwa? NI kweli tunalo tatizo la kimfumo but hatuwezi kukwepa kwamba tunalo tatizo kubwa sana la kusbiri maelekezo kwa kila kitu; hivi NSSF na PPF kua na account kwenye bank ambayo wao wenyewe wanazo share na lenyewe linatakiwa somebody from above aseme? Tanesco kununua transofromer kwenye kiwanda ambacho wao wenyewe wana miliki hadi mkubwa aseme? Tusihamishe goli, elimu kwa watendaji wengi haijawasaidia sana kufanya maamuzi, inasaidia tu kuadhibu na kukosoa wengine, period.Ndugu,umeandika mengi sana,na ya msingi,lakini jambo la msingi zaidi ni kutengeneza mfumo. Kuwa na jeshi la mtu mmoja hakusaidii utendaji makini na wa haraka wa kutatua changamoto zilizopo toka juu mpaka mashinani huko chini.
Uteuzi kufanywa kwa vigezo vya ukada au "mtoto wa nyumbani" badala ya sifa stahili kunafanya wateuliwa kutenda kisiasa zaidi wakiamini kuwa teuzi zao ni za kisiasa zaidi.
Kama tuna kiongozi mkuu anayeteua msaidizi wake bila kujiridhisha "vetting", je tuna sababu ya kuendelea kuamini kuwa matatizo ni ya hawa watendaji tu na si mfumo!!??
UkadaWatendaji wengi hapa Tanzania ni bure kabisa!
Wao wanawaza kuchapana bakora tu.