Marekani si alishauriwa ajiondoe na akafanya hivyo? Huku ni kinyume.Ila yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?
Kanzu ya ijumaa hufuliwa alhamisi. Mzee bado nguvu anazo sana ngojeni October ifike kampeni zikianza ndio mtajua kuwa umri ni namba tu lakini akili ya Mzee Wasira ni sawa na kijana wa miaka 38 tu!Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Hapo alipofikia akipiga chafya inakuwa kama kapiga screenshot🤣🤣🤣.Sijui kwanini familia ya Mzee wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira.
Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha unyangasaji na sio kitendo cha upendo. Kwa umri wake anatakiwa kuangaliwa zaidi kuhakikisha anatumia dawa zake, ana fanya mazoezi na ana lala vizuri. Sio umri wa kwenda kushindana na kijana kama Heche.
Tumuweke huyu mzee kwenye sala zetu bila kujali vyama. Angeweza kuwa baba yako🙏
View attachment 3211251
Na makuzi ya Marekani Sio ya Tanzania ndugu..Ila yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?
Kanzu ya ijumaa hufuliwa alhamisi. Mzee bado nguvu anazo sana ngojeni October ifike kampeni zikianza ndio mtajua kuwa umri ni namba tu lakini akili ya Mzee Wasira ni sawa na kijana wa miaka 38 tu!
Kwani network imezima?Marekani si alishauriwa ajiondoe na akafanya hivyo? Huku ni kinyume.
USA waliliona hili wakamuondoa BIDEN.Ila yakifanyika Marekani is not a big deal sio!?
USA waliliona hili wakamuondoa BIDEN.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hata mimi nawashangaa hawa wabongoMbona umri wake ni sawa na trump rais mteule wa marekani
Hoja dhaifu. Ngoja nikuache.Na makuzi ya Marekani Sio ya Tanzania ndugu..
Angalia hata wastani wa kuishi ukiwa kule na ukiwa hapa Tanzania.
Japo pia iko hivyo ila Biden alikuwa muungwana akaachini usukani. Angekuwa Africa Wasingekubali
Madako yako 😹😹😹Hapo alipofikia akipiga chafya inakuwa kama kapiga screenshot🤣🤣🤣.
Kila sehemu inatoa mzigo wake.