kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,420
- 13,934
Rais wetu ana namna anavyotaka Tanzania iwe, mpaka sasa ameonyesha kwa vitendo ktk kuitengeneza Tanzania mpya hasa katika kuiondosha, ubadhilifu, ukwepaji kodi, na wizi. Ametimiza adhima yake ya kutoa elimu bure kwa watoto wote nchini. Anataka Tanzania ya viwanda na kutaka kuifanya tz iwe na uchumi wakati. Ili kuhakikisha uendelevu wa haya ni lazima tutengeneze katiba ambayo itaweza kuyalinda na kuyaendeleza mafanikio haya ya Rais wetu, bila hivyo yatapotea yote kama vile vilivyopotea mtu ni afya, kilimo kwanza, Azimio la Arusha, na BRN.