Tumuombe Hussein Jumbe hali yake sio nzuri

Tumuombe Hussein Jumbe hali yake sio nzuri

chamalee

Senior Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
181
Reaction score
110
Nipo nasikiliza kipindi cha usiku wa Millenia kupitia Radio Free Africa mi ni mpenzi sana wa nyimbo za zamani Mtangazaji wa kipindi hiki ni Wambura Mtani nimeshtushwa na taarifa aliyoisema Hussein Jumbe hali yake sio nzuri wiki ya pili sasa yupo kitandani anaumwa, akisumbuliwa na sukari pamoja na kifua, hii ni baada ya kupata taarifa kutoka kwa mdau wa muziki wa zamani Jimmy Chika ambaye alienda kumtembelea nyumbani kwake Temeke kwa wale wasiomjua Hussein Jumbe ni mwanamuziki maarufu kwa miaka ya nyuma miaka ya 80, aliwahi kuimbia DDC Mliman Park na Msondo, Tabora Jazz.

Vibao vyake alivyowahi kuvitunga na kuviimba ni kama vile;
1.Nachechemea
2.Siri ya nini
3.Mume wangu Jerry
4.Isaya
5.Ajali n.k
 
Nipo nasikiliza kipindi cha Usiku wa Millenia kupitia Radio Free Africa mi ni mpenzi sana wa nyimbo za Zaman Mtangazaji wa Kipindi hiki ni Wambura Mtani nimeshtushwa na taarifa aliyoisema Hussein Jumbe hali yake sio nzuri wiki ya pili sasa yupo kitandani anaumwa,akisumbuliwa na Sukari pamoja na Kifua hii ni baada ya kupata taarifa kutoka kwa mdau wa muziki wa Zamani Jimmy Chika ambaye alienda kumtembelea nyumban kwake Temeke kwa wale wasiomjua Hussein Jumbe ni Mwanamuziki Maarufu kwa miaka ya nyuma Miaka ya 80,aliwahi kuimbia DDC Mliman Park na Msondo,Tabora Jazz
Vibao vyake alivyowahi kuvitunga na kuviimba ni kama vile
1.Nachechemea
2.Siri ya nini
3.Mume wangu Jerry
4.Isaya
5.Ajali n.k
Walimzushia kifo kipindi kile akaimba "na sanduku la gharama wakanichongea"

And there is only one thing we can say to death,not today not today.
 
dah ndiyo maana sijamuona uwanja wa nyumbani !!!!!
 
Mume wangu jerry huu wimbo duh....i love it.

Back
Top Bottom