Tumuombe apate Busara na Hekima JPM

Acha kuwa mnafki kwani huoni mambo yanayo endelea na matukio yanayotokea ......!!!! Bunge la wananchi limezuiliwa kuonyeshwa live wakati wao mambo yao ya serikali wanayatoa live ..... !! Na mengine mengi tu..... !
 
Hilo Bunge kuna gani cha maana wanachojadili na hakifanyiwi kazi au Bunge likioneshwa live tukaanza kuwaona wauza sura wakitokwa na mapovu ndio la msingi. Wajadili hoja matokeo wananchi tutayaona ktk maendeleo sura na sauti zao si muhimu
 
Acha kutokwa povu ndugu , jaribu kuwa na Busara .... !! Uhuru wa Habari ni Muhimu Duniani kote, mbona wao wanatumbua majipu Hadharani ? Basi na wao wasiite vyombo vya Habari wanapo tumbua...... !! Nchi ni yetu wote msijitie umalaika msiokuwa nao. ... !
 
Kwenye bunge hapo kweli hawajatenda haki, kama ni gharama basi wangerusha kupitia redio angalau tusikie kinachoendelea, maana wanapoonyesha usiku ni muda mchache sana bunge linaisha.
 
Acha kuwa mnafki kwani huoni mambo yanayo endelea na matukio yanayotokea ......!!!! Bunge la wananchi limezuiliwa kuonyeshwa live wakati wao mambo yao ya serikali wanayatoa live ..... !! Na mengine mengi tu..... !
kwani bunge kazuia yeye? mbona ana hekima sana Rais wetu? we unataka hekima gani kama siyo kutotafakari vizuri. unajua rushwa ilifikia wapi bongo? tafakari vizuri. halafu usiwe mwepesi wa hasira. kama unepost thread tegenea mawazo tofauti. hivyo acha lugha kali
 
Back
Top Bottom