Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

hili la lowasa ni la kuigwa na vizazi vya leo na kesho. kwa kweli lowasa nampongeza....
 
Hapana Mkuu!!
Kamwe hii nchi hatuwezi kuiharibu wenyewe mkuu!!!

Ni watu wachache sana wenye kutumiwa na wenye nia ovu na +255 kupitia mgongo wa demokrasia ndio wenye kelele za kutaka kutuvuruga.. but they wont succeed.. hawa hawana tofauti na debe tupu ambalo kamwe haliachi kuvuma...

Ukitaka kuamini we fanya mahesabu marahisi sana ya kianalytic utagundua hivi vibonzo vinavyotumiwa na mabeberu havizidi hata laki 3 kati ya watu takribani Milioni 50.. hivyo havina effect yeyote ile in real life ya kuweza kulikoroga taifa..

Wamejazana tu huku mitandaoni na kelele zao nyingiii za debe tupu but they are nothing but effigies of scare crows..

UKUTA my foot!!!
 
Kama ingekutokea wewe ungechukua hatua gani..??
Ungesalimia au ungekunja mikono yako..??
 
Unaishi katikati ya mstari wa unafiki.
 
Kuna kuibiwa kura na kupokwa ushindi,huku tuliibiwa kura kule zanz walipokwa ushindi kwa hiyo ni mambo mawili tofauti ndio maana chadema hawakusema hawamtambui rais lakini cuf hawamtambui rais wa zanz hapo umeelewa
Acha vituko.
 
hiyo ndo siasa!! mkiandamana mtapigwa mpaka mtaumizwa then viongozi wenu wanakutana pamoja na viongozi wa serikali wakisheherekea supu ya jioni
 
Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
View attachment 388825 View attachment 388828
Huyu Lowassa ataitwa Msaliti muda si mrefu.
Kule alikohamia hawajui kuna uungwana wa dizaini hii..ndo maana walimwita Maalim shujaa kwa kukataa kumpa Shein mkono wakati wa maziko ya Mzee Jumbe ambaye alishtakiwa na kufungwa kwa sababu hiyo hiyo..
 
Mtazamo umesema jambo la muhimu sana.
Tabia hizi za ukigeugeu na kulamba matapishi na ushabiki wa vitu vya kipuuzi visivyo na chembe ya uungwana ndivyo vimevigharimu sana vyama vya upinzani (na hasa Chadema) katika uchaguzi mkuu wa 2015. Ni vigumu kwa mwananchi wa kawaida mwenye akili timamu wala kufuata mkumbo kukuamini baada ya kukuona wewe ni kigeugeu.
 
Naamini wewe ndo mjinga zaidi ya hao unaosema.
Kwa post yako umekiri wazi kuwa ile kauli kuwa Lowassa aliibiwa kura ni ya uongo.
Anyway, uongo wenu tumeuzoea manake mlituongopea lia kuhusu kufungua kesi kubwa kubwa ICC na ICJ kupinga matokeo. Hamna aibu hata kidogo.
Hizi akili za mapovu sijui huwa mnazitoa wapi. Yaani unaongea ili tu ubishie hoja.
Na tangu lini (ukiondoa huo upuuzi mnaouita upinzani) watu wakasusiana salaam na misiba katika jamii yetu???
Wajinga wakubwa....
 
Lowassa anafanya yale yanayomsaidia katika mazingira yaliyopo
ku play 'a statesman na kuonekana mwenye busara kunampa nguvu zaidi
Asante sana.
Kwa hiyo ni wazi kuwa Maalim Seif hakutumia busara na kitendo chake hakiendani na hadhi ya 'statesman'.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…