Lowassa anafanya yale yanayomsaidia katika mazingira yaliyopo
ku play 'a statesman na kuonekana mwenye busara kunampa nguvu zaidi
Hahaha umeona!!Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Nataka nione kwenye hili la fisadi Lowasa watasema nini?Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Inawezekana upo sahihi kutegemea hiyo nguvu anayopata Lowasa ni nguvu ya mlengo upi! Hii move ya leo ni purely strategy ya CCM na imefanikiwa. Hivyo ni kweli EL kapata nguvu kwa "wenyewe" ..Lowassa anafanya yale yanayomsaidia katika mazingira yaliyopo
ku play 'a statesman na kuonekana mwenye busara kunampa nguvu zaidi
Na huku si mlisema mmeibiwa kura? Mmesahau? Kwa hiyo kamanda leo umekubali mlishindwa kihalali? Asante Kamanda kwa kukiri mlishindwa!kufananisha sababu za lowassa na seif ni ujinga kwani vitu hivi ni tofauti.
kule zanzibar seif kaibiwa kisha mwizi anakuja kukupa mkono lazima ukatae
magufuli amekataza maandamano huku wanaotaka kufanya hayo maandamano bado hawajafanya kwani muda ambao wamepanga kufanya bado haujafika anakupa mkono kwanini usipokee kwani baba akichukia anakwambieni leo humu ndani hamli lakini akitoka zake huko jioni anarudi na fuko la mizagazaga mnakula kwa hiyo tusubiri 1UKUTA2 UPO PALEPALE
Inawezekana upo sahihi kutegemea hiyo nguvu anayopata Lowasa ni nguvu ya mlengo upi! Hii move ya leo ni purely strategy ya CCM na imefanikiwa. Hivyo ni kweli EL kapata nguvu kwa "wenyewe" ..
Mlituambia na Lowasa aliporwa ushindi mmesahau makamanda hahahahaWote wawili wako sahihi
Seif alinyanganywa ushindi wake hivyo hakuona sahihi kumsalimu adui wake
Lowasa kwa upande wake hajawahi kuwa na uadui na JPM uadui wao ni JK na ndio maana alikuwepo JK ila hawajakutana wala hakuna kilichoonekana kuwa walikutana
lowassa kapunguza makali ya UKUTA..
sidhan kama kuna watu watakuwa bado na mzuka wa kuandamana..
na nnavyo mjua mtukufu, atatumia vizuri hiyo kete.
ni vigumu kukataa mkono kanisani,
Ingekuwa heri asingeenda kabisa.
viva seif viva..
Na Seif?Lowassa anafanya yale yanayomsaidia katika mazingira yaliyopo
ku play 'a statesman na kuonekana mwenye busara kunampa nguvu zaidi
Kuna kuibiwa kura na kupokwa ushindi,huku tuliibiwa kura kule zanz walipokwa ushindi kwa hiyo ni mambo mawili tofauti ndio maana chadema hawakusema hawamtambui rais lakini cuf hawamtambui rais wa zanz hapo umeelewaNa huku si mlisema mmeibiwa kura? Mmesahau? Kwa hiyo kamanda leo umekubali mlishindwa kihalali? Asante Kamanda kwa kukiri mlishindwa!
JPM na EL si maadui. Term ya kwanza ya JK unajua uteuzi ulikuwaje na Kuzua maswali. Sitaki kugusia influences za wakati huo. Kwasasa JPM hana deni na EL. EL haamini ktk maandamano na ametamka hilo mara nyingi lakini inabidi awe mgiriki kwa wagiriki. JPM hapambani na EL bali hali ya hewa iliyojengwa muda mrefu kupitia koti la siasa. Inawezekana JPM akapigana vita yake vizuri au vibaya kwa kuvunja katiba lakini sisi tunajadili kupitia haya tunayoona kwa macho na ufahamu tu.But still walio arrange hii move
wamemuona Magufuli 'hana busara'
wametumia church kumlainisha
ujumbe uko very clear 'siasa sio uadui' fanyeni siasa zenu kwa amani
mkuu,Lowasa bado ni fisadi?vipi?Mtampandisha ktk Mahakama ya Mafisadi?Wale wanaopenda kuiga na waige
Ahahaha,ile picha yako ya avatar i wapi?ebu uirudishe fastaaa!Wale wanaopenda kuiga na waige
Nimesema kitu hicho hicho na vijana wote wa ukawa hasa chadema wamegoma kabisa kutoamajibu.Seif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Umewabana hawata kujibu! Walisema Lowasa kaibiwa kura na walimshangilia Seif aliposhindwa kutoa mkono Teh Teh...JPM na EL si maadui. Term ya kwanza ya JK unajua uteuzi ulikuwaje na Kuzua maswali. Sitaki kugusia influences za wakati huo. Kwasasa JPM hana deni na EL. EL haamini ktk maandamano na ametamka hilo mara nyingi lakini inabidi awe mgiriki kwa wagiriki. JPM hapambani na EL bali hali ya hewa iliyojengwa muda mrefu kupitia koti la siasa. Inawezekana JPM akapigana vita yake vizuri au vibaya kwa kuvunja katiba lakini sisi tunajadili kupitia haya tunayoona kwa macho na ufahamu tu.
Wote wawili wako sahihi
Seif alinyanganywa ushindi wake hivyo hakuona sahihi kumsalimu adui wake
Lowasa kwa upande wake hajawahi kuwa na uadui na JPM uadui wao ni JK na ndio maana alikuwepo JK ila hawajakutana wala hakuna kilichoonekana kuwa walikutana