Tumuache rais ainyooshe nchi

msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,764
3,192
Ndugu zangu habari za majukumu, matumaini yangu nikuwa mpo poa.

Baada ya kudumbukia kiongozi wetu pale magogoni tumekuwa tukisikia kauli kuwa "NIACHENI KWANZA NIINYOOSHE NCHI". Mawazo yangu ni kuwa huyu jamaa kiukweli anainyooasha kwani ukiona watu wameanza kulalamika ujue dawa imeanza kukolea.

Kwa mfano watumishi wa umma ndiyo wanaoongoza kulalamika kwakuwa walizoea lelemama, na upande ule mwingine naongelea ule wa magwanda wenyewe ulishakwisha kabisa kwani ulishabakia kusubiri tu kufanya nini tulalamike namaanisha akifanya baya wao hukosoa na akifanya zuri pia hukosoa yaani wao wapo wapo tu.

Kipindi kile alikuwepo Slaa kidogo adabu ilikuwepo lakini leo yaani hadi watu wamewazoea. Ukiona mtu kaanza kulalamika wakati mnapigana ujue umekaribia kushinda.

Ni mawazo yangu tu. Uhuru wa kuongea.
 
Naona ulipanga kuwasema wapinzani ungewataja tu CHADEMA.Issue tunahitaji UHURU wa kuonge hatuhitaji madeal,hata yeye ni mmoja wapo hujajiuliza nani yupo nyuma ya MELI mbovu iliyogharimu mabilioni?Au zile barabara zilizochini ya kiwango??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom