technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,559
- 57,863
Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.
Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!
Amwambie mkuu yafuatayo aisee.
1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.
2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .
3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!
4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8
5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.
6: Vijana wanasubiri viwanda
7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.
Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.
'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"
Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!
Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!