Tumtie moyo

Tumtie moyo


kwani kuna nini hapa mbona sielewi? naona watu wantiana tuu yaani miguuni na mdomoni hakutoshi kutiana hadi mhamie moyoni loooh mnatafuta kutoana pumzi tuu mliyopewa na mungu, mi sipo huko nakula life mambo haya nshaachana nayo kita-mboo.. hehee
 
kama wa Kasinde? huhuhuhuuuu!

mimi alikuja lakini akakimbia msuli wa mkuyati dadeki zake! aliishia kuniachia minyege nyege tu usiku kucha! huhuhuuuu!!

nimempiga marufuku kugusa nchi 20 yangu kwa mwaka mzima! la sivyo nam-suarez!

watu wanapenda kutiana balaa, ila mnapotiana kuweni makini na kila mmoja maana wengine wanatia hasara tuu... looh
 
Huhuhuuuu! Kasinde mambo vp?

We hujui raha za kutia wewe? Huuu! Kutia moyo raha sana!

Umeamkaje lakini huko kwa ob?

Ni-pm ukiwa na genye! Huhuhuuuuu! Ntaziondoa fwastaa kwa mkuyati!
watu wanapenda kutiana balaa, ila mnapotiana kuweni makini na kila mmoja maana wengine wanatia hasara tuu... looh
 
Huhuhuuuu!

Uachane na kutiana? Are you not sure? Hihihiiii!
Nipe mji nikutie moyo!

Mzima lakini wewe?
kwani kuna nini hapa mbona sielewi? naona watu wantiana tuu yaani miguuni na mdomoni hakutoshi kutiana hadi mhamie moyoni loooh mnatafuta kutoana pumzi tuu mliyopewa na mungu, mi sipo huko nakula life mambo haya nshaachana nayo kita-mboo.. hehee
 
Mwezi wa haki huu!Ningekuwa nyumbani Kengeja-Pemba ngekuwa nafaidi tu urojo wa mbatata kama iftari!
 
salama naona umekuja kimya kimya bila tipoti kamili ya OCD
nimekuja mama, nifanyeje sasa! naona kuna mdada ataka kutiwa yakhee! watiaji kibao wapo hapa mlangoni! ...huhuhuuu!

Njoo basi tubanane mlangoni..! baridi baridi! hhuuuu!

jioni njema!
 
Back
Top Bottom