"Tumshukuru" Mungu kwa vichwa hivi

"Tumshukuru" Mungu kwa vichwa hivi

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,698
Bila Jakaya Kikwete, Samia Suluhu Hassan, Rostam Aziz, Harbinder Sethi Singh, Azim Dewji, Mohamed Mchengerwa, Emmanuel Nchimbi, Ridhiwani, Kikwete, Salma Kikwete, Dotto Biteko, Wanu Hafidh Abdul Hafidh, Hussein Mwinyi, Adam Malima, nk Tanzania ingeyumba hata kutoweka. Tuzidi kumuomba na kumshukuru mheshimiwa Rais hawa watu waendelee kuwepo na kushikilia nchi yetu.
 
Duu zile hela za jana zimekuzuzua
Nadhani wameongeza dau kwa kola post moja
 
Bila Jakaya Kikwete, Samia Suluhu Hassan, Rostam Aziz,Harbinder Sethi Singh, Azim Dewji, Mohamed Mchengerwa, Emmanuel Nchimbi, Ridhiwani, Kikwete, Salma Kikwete, Dotto Biteko, Wanu Hafidh Abdul Hafidh, Hussein Mwinyi, Adam Malima, nk Tanzania ingeyumba hata kutoweka. Tuzidi kumuomba na kumshukuru mheshimiwa Rais hawa watu waendelee kuwepo na kushikilia nchi yetu.
Kanywe nao chai basi
 
Walaji wa keki ya taifa

Kuna muda nahuzunika sana kwa wanayotutendea hao watu
Ila Kuna muda nafarijika hasa nikikumbuka kuwa wote wa mavumbini

Yuko wapi lowasa?
 
Back
Top Bottom