😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:Yani huyo jamaa anakaa hall 7 mademu wote hao hajapata hata m1 kweli????
basi hata akiwa na mercedes Benz maybach bado hatapata demu,kama ni hivyo.
raha hall 1 na hall 4 bwana yani full kupishana na vichupi vimeanikwa,ma-night dress, khanga moko.yani full kuosha macho lol.
huko hall 4 ukutane na toto la kiganda linatoka kuoga mamaa weeeeeeeeeeeeeeh,mtoto guu guu,KOTA KOTA,au toto la kirwanda mweeeeeeeh.
madsemu wa kizungu na wa ki-asia hata wavaaje mtu huangalii twice.sasa bado hajapata demu huyo ni fowadi butut kama OLIVIER GIROUD.
ila mademu wa main campus muache kuropokaropoka "mwiziiiiiiiii" na akuna mwizi tunaamshana buree, mwingine kaibiwa saa6 ameshtuka usingizini saa 10 anaanza ku-shout akati mwizi kashalala na mkewe.
huyo jamaa yako mtoa mada kwa mwendo huo atabaki kuwagonga kina mwajuma nisalimie na akina ashura nipemie,waloishia darasa la 7. 😛eace: 😛eace:😛eace:😛eace: