JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,626
Be serious sometimes! am bored stiff with your none sense comments herein.Ahakikishe hakuna muislam kufika form one wote waishie darasa la saba tu, wafanyakazi wa kiislam awapige chini wote waliokuwa wizara ya elimu, akiyafanya hayo ndani ya miaka miwili tu anakuwa mwenye heri! Najua hawezi kushindwa kama aliweza kufanya alichokifanya alivyokuwa katibu mkuu
kwa mfano kuna mwalimu kakaa muda mrefu kazini alikua na grade A akafikia mshahara mkubwa tuuu almost zaidi ya mshahara wa kima cha chini cha mwalimu mwenye degree baadae akaenda kujiendeleza na akapata degree ya elimu lakini aliporudi kazini wanamwambia achague aendelee na mshahara wake wa grade A au aanze upya na mshahara wa degree kima cha chini ambao kimsingi ni kidogo kulinganisha na mshahara aliofikia wa grade A sasa kwann mtu akijiendeleza asije kulipwa mshahara kutoka na muda wake kazini na pia elimu yake aliojiendeleza
mwenye msaada wowote juu ya hili naomba amsaidie
Hilo tatizo mkuu ni changamoto, linafanana na waliojiendeleza fani tofauti na walioajiriwa nayo, ila ni suala la muda tu litapatiwa ufumbuzi, ila hujatoa alternative maana kwa grade A mtu alipandishiwa mshahara ipasavyo kulingana na muda aliokuwepo kazin, sasa Degree ndio umeipata sasa huwez ukasema uchukue wa Grade uliyofikia then ujumlishe na wa Degree ni ngumu pia inategemea na uhitaji kwenye halmashauri wakati unaenda kusoma labda wao walihitaj huyo wa Grade A.
mama yako kigagula!Ewe mgalatia usiokuwa na akili ni nani aliyekuroga?
askari kila katikati ya mwezi wanalipwa laki tatu na ushee. kwanini waalimu hawalipwi posho kama hiyo? hata kama mimi nipo sector mbaya/risky, hata wasiponilipa mimi basi wawalipe waalimu...apiganie teaching allowance kwa walimu tena ilipwe tarehe 15 kila mwez
mishahara mwisho wa mwez auboreshe. akianza tofaut na hilo atatumia ubabe hautasaidia
walimu ni kama wanamgomo baridi kitambo.
urejeshe heshima ya Mwalimu. Mh ndalichako, walimnyang'anya MWL hata cheo chake na kumdhalilisha. mw wa degree kama kada zingine alikuwa akiitwa afisa elimu Daraja 2... sasa wamempa mjina mwingine wa kibaguzi. waliita utekelezaji wa waraka wa maendeleo ya utumishi namba moja wa mwaka2014 muundo wa utumishi chini ya elimu. huu ni waraka wa kihuni
Upo katika idara/sekta gani mkuu ambayo hauhitaji kulipwa posho hata kama mazingira yako ya kazi ni hatarishi?askari kila katikati ya mwezi wanalipwa laki tatu na ushee. kwanini waalimu hawalipwi posho kama hiyo? hata kama mimi nipo sector mbaya/risky, hata wasiponilipa mimi basi wawalipe waalimu...
We unamjua vizuri huyo kiongozi wa necta wa sasa au ndo basi kuponda kila kitu ndo kawaida yenu. Tatzo mna mapungufu ya akili kila mtu mkubwa mnamchukia nchi hii. Muulize naibu waziri wa zamani wa tamisemi elimu atakuambia shughuli ya huyo dr msonde.na unajua sababu za ndalichako kuondoka necta
Samahani mkuu! Na wewe ni msomi wa kigalatia?Kwa hiyo VETA unaihona hajabu niatua tu ya elimu VETA hinawataramu wazuri sana
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr JPM jana alikamilisha uteuzi wa baraza la mawaziri kwa zile nafasi alizokuwa ameweka kiporo.
Katika uteuzi huo amemteua Dr Joyce Ndalichako kuwa mbunge na hatimaye waziri wa elimu,sayansi,teknolojia na ufundi. Hongera Dr Ndalichako.
Ikumbukwe kuwa wizara hii ya elimu ina changamoto nyingi sana hali inayosababisha wadau wa elimu kupiga sana kelele juu ya hatima ya elimu ya watoto wetu kitaifa na kimataifa.
Hivyo basi,ninaomba tutumie fursa hii kumshauri waziri mwenye dhamana mambo ya msingi ambayo tunadhani akiyasimamia kikamilifu na kwa uadilifu mkubwa atainusuru elimu yetu ambayo kwa hakika ipo rehani. Mimi naanza kwa hili:
l) Ninamuomba waziri aboreshe mazingira ya kazi kwa walimu kwa kuwapatia makazi bora ya kuishi tofauti ilivyo hivi sasa.
ll) Pia masilahi kwa walimu iboreshwe ili waweze kufanya kazi zao kwa moyo na uadilifu mkubwa.
lll) waziri aipitie upya mitaala yetu ya elimu ili iweze kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji ya elimu yetu kwa sasa.
ENDELEA...
Bro. NECTA hawahusiki na malipo YA wasimamizi mitihani, mhusika ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na majiji.
Mkuu ndioo maana wana mawazo finyuu saana hatakutoa maamuzii yaoo, kazi kuwatisha walimu na kuwa nyanyasa pasipoo sababu, yotee hayoo ni elimu ndogoo, . Wakasomeekwa ukitaka kuchukua uafisaelimu wa mtu watu wakachukue masters tu, wenye masters wakimaliza vyeo watapelekwa wapi. Watu wanasoma kuboresha utendaji wao sio kuangusha vyeo vya watu!