Jimmy Kadebedebe
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 468
- 191
Msgwa yupo juu sanaaaa!!!
umesoma vizuri bible au?anadhalilisha taaluma ya uchungaji.. ni bora ieleweke kuwa ameacha uchungaj ni mwanasiasa kama dr slaa..! VITA VYAKE HAVIPASWI KUWA VYA ULIMWENGU HUU BALI VYAPASWA KUWA VYA KIROHO.. MATHAYO 7;21
Huu ni msemo ambao umetawala midomoni kwa WANAIRINGA wote wenye mapenzi mema na mkoa wetu wa IRINGA.
Huu ni msemo ambao unaleta hamasa kubwa ya kumtambulisha tena MH.MCHUNGAJI MSINGWA ambaye alikuwa mbunge wetu wa Iringa mjini!!
Ama hakika huyu ndiye Mbunge pekee ambaye wana Iringa tunaweza kujisifia,kwani alikuwa kipaumbele kuwatetea wana Iringa wote nje na ndani ya mbunge,tofauti na wabunge waliopita kama wakina Monika Ngezi Mbega,ambao hawakuweza kusimama na kuwatetea wana Iringa ndani na nje ya mbunge!!
Ni mbunge mwadilifu ambaye pia akisimama bungeni lazima bunge litikisike kwa kile atakaho kisema,wenyewe ni mashahidi kwani wote tunafahamu ni kwa namna gani hotuba zake bungeni zilikuwa zina tija gani juu ya maendeleo ya Iringa na nchi kwa ujumla!!
Ni moja ya wabunge machahali walioweza kuonyesha makali yao ndani na nje ya bunge kwa muda mfupi tuu!!
Hivyo wanaIringa wenzangu tusifanye makosa tumchague Msigwa tena kwa maendeleo ya mkoa wetu na nchi kwa ujumla!!
People's power!! MSIGWA TENA!!!
![]()
ni
Ni lazima tumrudishe mjengoni!!

umeona eee!!Kweli bora arudishwe bungeni ili Iringa iendelee kuonekana bungeni maana majimbo mengine ya Mkoa wa Iringa kama vile hawana Wabunge. Mfano Kalenga yaani kimya kabisa. Iringa Wabunge waliovuma ni Msigwa na Filikunjombe ila sasa Filikunjombe yupo Mkoa mwingine. Mkichagua ccm wabunge wao huwa wanapewa fikra za Mwenyekiti za kwao wanaziacha kwenye majimbo na ndiyo maana kazi kubwa kabisa pale bungeni ni kusema ndiyoooooooo! kazi ambayo hata chekechea wangeifanya na wakalipwa posho kidogo tu.
huyu jamaa si ndio alihoji kwanini zanzibar mchana migahawa inafungwa wakati wa ramadhan , inaelekea inamuuma sana na ingekuwa amri yake angeamuru waislam wasifunge...
ni mdini sana... yaana anachuki za wazi kwa waislam ....
anyways sishangai ni mchungaji .... na ndio maana hatufanyi makosa kumuweka padri slaa madarakani ni hatari kwa taifa