Kabisa nasikia hata yeye anafile pale hospital ya dodoma kama Lisu.Msigwa ni mbunge mwenye akili zilizopitiliza!
anadhalilisha taaluma ya uchungaji.. ni bora ieleweke kuwa ameacha uchungaj ni mwanasiasa kama dr slaa..! VITA VYAKE HAVIPASWI KUWA VYA ULIMWENGU HUU BALI VYAPASWA KUWA VYA KIROHO..
MATHAYO 7;21