Ndugu zangu Watanzania na wana Afrika wote wenye mapenzi mema na nchi yetu inayoongozwa na Dk John Pombe Magufuli.
**Ili kuepusha kuharibu kura zingatia yafuatayo unapojiandaa kumpigia kura Rais Dk John Pombe Magufuli awe kiongozi bora wa Afrika 2017**
1.Tumia browser moja tu kupiga kura moja tu.
2.Waweza piga kura moja tu kwa kila browser moja kwa kutumia simu moja.
3. Aina za browser ni kama vile chrome, opera mini na fire fox n.k
4.Usirudie kupiga kura kwa kutumia browser moja unapoteza muda wako na pia kuharibu kura yako.
Endelea kupiga kura
Endelea kumfahamisha mwenzako
Endelea kumuhimiza mwenzako apige kura
Endelea kuwa Mzalendo
Endelea kumuombea Rais wetu.
Mungu ibariki Tanzania.