Zaburi 23
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 570
- 650
Nimeikopi sehemu
Nina mwanamke naishi nae yapata mwaka na miez saba sasa shida inakuja seem moja Mimba hanasiii nafanya kila niwezavyo lakini holaaaa. Nilianza kuish nae kabla sjamtolea mimba na lengo langu likiwa nimnasishe mimba kwanza ndio nitoe barua, Lakini kuumbe mwenzangu alikua hatak anase mimba ikawa ikifika sku za hatar anasingizia tumbo kuuma, Kichwa kumuuma au hajiskia kufanya na mimi nilivyo muelewa nilikua namuacha. Kuna stage ikafika nikampeleka hospital ili aangaliwe ni nn kinasababisha asinase mimba.
Dokta alimpa kuna dawa fulani za kumeza na akashaur kila baada ya sku mbili tufanye. Kuumbe mwenzangu alikubal tu kwenda hospital ili aniridhishe ikiwa yeye hatak kunasa mimba kwa kipindi kile. Hata zile dawa kumbe hakua anazimeza kisa sjamtolea mahari .
Baada ya kuona hanasi mimba nikajaribu kulemgesha mimba kwa binti mwingine kwa kuhofia kuwa labda mimi ndio nna tatzo la kulengessha mimba. Mungu sio asuman wala juma binti wa kwanza akanasa mimba
Alivyonipa habar zile nilifurahi sana na kajifungua mwez ulopita na mtoto ni chata yangu kinomaaa. Nikaendelea na zoez la kumlengesha mimba wife material ikawa holaaa na zile dawa anazuga kuwa anameza kumbe wapi.
Ikafika atage nikaandaa wazee wakaenda kumtolea barua baada ya pale ndo akafunguka kila kitu kuwa alikua ananizuga kuwa anaumwa ili asinase mimba it means alikua haniamin na hata zile dawa alikua hamezi nikamsameh maisha yakaendelea sasa huy wife material anataka mimba kwa kila hali na hainasiii tumetumia kila aina ya mikao lakini wap ad kuna Mambo niliplani nimshirikishe nahofia coz kipind kile alikua ananiongopea pia nimejaribu tena kulengesha mimba bint mwingne kanasa mimba ina miez mitatu now lakini wife material hanasi tumejaribu kila aina ya mikao lakini wapi
Ushaur wenu hapo dokta au dawa gani inasaidia mwananke kunasa ujauzito nipo masasi hukuu....