Tumpe Rais Magufuli ushirikiano na sio kumtega! Kushindwa kwake ni kushindwa kwa Taifa

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;

Kiukweli Mimi Ni Ukawa Damu! Ila Uchaguzi Ushaisha So Mimi Ni Mtanzania! Ninayeipenda Tanzania Yangu! { Mzalendo}.

Kila Nikipita Humu Nakuta Thread Za Lugumi Na Nyinginezo Zenye Kubeza Na Kumpima Rais Jpm Kwa Maana Huwasilishaji Wake Hauna Lengo La Kumpa Taarifa Au Kumshaur Rais! Na Comment Za Tutaona Sasa Atatokea Wap!!? Hili Ndio Jibu Kubwa!! Hawez Kutumbua!

Sisi Ni Watanzania Na Maguful Ndio Rais Wetu! Tumeona Aliyoyafanya Mpaka Sasa! Hakuna Bovu Sasa Tumpe Kampan Sio Kumbeza!! Au Kumpima! Au Kumpa Kaul Za Kumfanya Afanye Maamuz Ya Kukurupuka!!

Kumbuka Hata Kama Kampun Ya Lugumi Imetuchapa Ila Kisheria Hata Mwizi Ana Haki!! So Kumpeleka Mputa Jpm Ili Amkamie Huyu Lugumi Kunaweza Kuleta Madhara Zaid Ya Hiyo 37 Bilions!!

Tubadilike Wadau! Tumpe Kampan Rais! Mimi Leo Nimeanza Kumpa Sapot Rais Na Kumuombea Baada Ya Kupata Msamaha Wa Kodi!

MIM UKAWA ILA RAIS WANGU MAGUFULI.
 
Uko sahihi mhimu tumtie moyo na kumpa ushirikiano wa kutosha
Tuache mambo ya kebehi kwani hayajengi bali kukatisha tamaa.
 
Naunga mkono hoja, tumsaidie mheshimiwa Raisi kwa kumuunga mkono, kumpa moyo ili afanye kazi kwa manufaa ya Taifa.

Ila tu nilichokiona watanzania wa leo ni watanzania wenye kumbukumbu, wenye kuhoji, wanaotaka ukweli, Ukisema unatumbua majipu watakusaidia kukuonyesha majipu na kukukumbusha kila mara mpaka waone kweli unafanya juhudi za kuyatumbua.

Wananchi hawapendi Double standards
 
Kuna watu wanaombea ashindwe ili 2020 waweze kupanua mdomo maana ndo mtaji wa upinzani
 
VIJANA TAIFA ZIMA KABLA YA UCHAGUZI TULILIA MABADILIKO NA HAYA MABADILIKO TULILENGA MFUMO WA UONGOZI WA NCHI UENDANE HALI HALISI YA MAISHA, MABADILIKO YA KIUTENDAJI NDANI OFISI ZA UMMAH, KUONDOA WAFANYAKAZI WASIO NA TIJA NA TAIFA,


SASA TUMEMPATA MWANA MABADILIKO HALISI JOHN POMBE MAGUFULI,

SASA VIJANA TUTULIE TUFANYE KAZI, ILI TUPATE MAHITAJI YETU MUHIMU TUSIWE TEGEMEZI TENA.

THANKS JPM
 
Back
Top Bottom