Mmenistukia natumika na nani?!. Lumumba? . Kwa taarifa tuu, msamiati wa neno "dhaifu" ulianzia humu jf ndipo JJ.MNYIKA akaunasa na kushuka nao Bungeni, mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa msamiati huo japo siwezi kulinganisha claim right of ownership kwa sababu hakuna aliye u patent msamiati huo! .
Na sasa huu msamiati wa Dikiteta pia umeanzia humu jf, na mwanzilishi ni mimi, hivyo kama unadhani natumika na Lumumba, you are very wrong! .
Pasco wa JF is his own Boss hatumwi na mtu yoyote, chama chochote wala taasisi yoyote bali ni mtumishi wa watu, anayewajibika kwa watu kwa kuwaambia ukweli daima, aliyejengwa na watu kwa ajili ya watu! . (Of the People, By the people and For the people ).
Pasco