Tumpe Rais Magufuli miaka mingapi?

Tumpe Rais Magufuli miaka mingapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Natafakari jinsi ambavyo Rais anaendesha nchi kwa matamko na mihemko mingi. Mfano ukanijia akilini. Nimekopa hela benki kwa ajili ya biashara. Hela nfefu tu. Mkopo natakiwa kuulipa ndani ya miaka miwili.

Sina chanzo kingine cha kipato hivyo nategemea mahitaji yangu yatoke kwenye biashara. Hivyo nategemewa kulipa mkopo, riba, pango n.k. Nikiitazama biashara nsona kipindi hiki cha mwendokasi mambo ni kama yametuwama.

Mkopo utalipika? Ni lini naweza kusema nitafikia break even ili nianze muona matunda ya uwekezaji wangu? Nitakaposhindwa kulipa ndani ya muda husika ni wazi nitafilisiwa na walionikopesha.

Hatma ya mfano huu ni tofauti na uongozi tulio nao sasa japo mifano tangu mwanzo inafanana. Rais ukimsikiliza anachoongea kila leo kwa wananchi ni kama vile ataongiza hii nchi kwa miaka 30. Kwa nini. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na dira ya taifa ambapo pake wakuu wa nchi wanapopokezana uongozi, basi yule mpya huendeleza yaliyoachwa na mtangulizi wake.

Mfano mzuri ni hivi karibuni ambapo baada ya jpm kuchukua madaraka amekuwa akiilaumu serikali iliyopita kwa kutokuwa makini kusimamia nchi. Sasa yeye kaja na kuanza kufumua mifumo kama vile hatukuwahi kuwa na Rais nchi hii. Kinachoinekana ni kama jk hakufanya kitu ndani ya miaka 10.

Kauli kama watu wafyatue (sio wazae) watoto anajua ina athari gani baada ya miaka 10? Baada ya miaka 10 Rais ajaye atakuwa tayari kubeba mzigo ulioachwa na mtanguluzi wake? Au ndio yake yale ya kumlaumu mtangulizi kwa maamuzi aliyofanya ya kuruhusu ufyatuaji.

Kama rais ana mpango wa kutaka kuongoza nchi hii kwa miaka 30 pengine atabeba msalaba wake hadi mwisho. Lakini kama Rais atapisha baada ya miaka 10 ni wazi tunahitaji muongozo wa kitaifa ili mrithi wake nae asije kuanza kupangua yaliyopangwa. Hapa ndipo katiba pendekezwa ya mzee Warioba inapohitajika. Magufuli ataitendea haki?

Miaka kumi ikitimia na mipango ikiwa bado haijatumia nu ngumu sana kwa mchoro wa sasa wa kiuongozi kwa kiongozi ajaye kufanya aliyoacha mtangulizi, mfano kulea watoto waliofyatuliwa miaka 10 iliyopita. Pengine sera zake ni uzazi wa mpango na ana mambo ya msingi ya kusimamia na si kuanza kulea.

Sasa kama mkuu hawezi kufanya kazi zake pakiwa na kelele nyingi hadi kutaka kuzizima kwanza ndipo afanye kazi, itakuwaje atakaposhindwa kutimiza ahadi zake na kuja kutoa kusingizio kuwa ni kelele nyingi zilinifanya nishindwe kuwa makini hivyo kushindwa kutimiza?

Rais kaahidi mambo mengi sana ambayo ni ngumu kutekelezeka kwa miaka 10. Atalazimisha kuendelea kuongoza ili tu akamilishe? Ataweka dira itakayofuatwa na atakayenfuatia? Kama nilivyosema awali, nitafilisiwa nikishindwa kutimiza ndani ya miaka miwili. Nani atamwajibisha Rais pale mambo yatakapokwama?
 
Inategemea kwako wewe maendeleo unayatafsiri vipi, na unatagemea raisi wa nchi afanye nini ili kwako hayo unayoyaita maendeleo yaonekane!

Umeandika maandishi mengi lkn hauna hoja yoyote ya msingi iliyosimama ambayo mtu anaweza kuisoma na kuanza kukujibu, unagusia hapa na hape lkn hausemi hasa unamaanisha nini na unataka kusema nini hasa, kwa mfano raisi amekosea wapi kulingana na jisi uonavyo wewe ili iwe rahisi kuchangia, sehemu hoja yako conrete ni ipi?
 
Hatobadili kitu ata kwa miaka 20....tusubiri muda wake uishe...pengine tutapata rais
 
Inategemea kwako wewe maendeleo unayatafsiri vipi, na unatagemea raisi wa nchi afanye nini ili kwako hayo unayoyaita maendeleo yaonekane!

Umeandika maandishi mengi lkn hauna hoja yoyote ya msingi iliyosimama ambayo mtu anaweza kuisoma na kuanza kukujibu, unagusia hapa na hape lkn hausemi hasa unamaanisha nini na unataka kusema nini hasa, kwa mfano raisi amekosea wapi kulingana na jisi uonavyo wewe ili iwe rahisi kuchangia, sehemu hoja yako conrete ni ipi?
Ni Kweli Sikutaka Kwenda Deep Sana Maana Ningekuchosha Kusoma. Naamini Wewe U Raia Wa Nchi Hii Na Unafuatilia Yanayoendelea Pia. Kama Kwa Kweli Hujui Nazungumzia Nini Basi Wewe Hutufai
 
Natafakari jinsi ambavyo Rais anaendesha nchi kwa matamko na mihemko mingi. Mfano ukanijia akilini. Nimekopa hela benki kwa ajili ya biashara. Hela nfefu tu. Mkopo natakiwa kuulipa ndani ya miaka miwili.

Sina chanzo kingine cha kipato hivyo nategemea mahitaji yangu yatoke kwenye biashara. Hivyo nategemewa kulipa mkopo, riba, pango n.k. Nikiitazama biashara nsona kipindi hiki cha mwendokasi mambo ni kama yametuwama.

Mkopo utalipika? Ni lini naweza kusema nitafikia break even ili nianze muona matunda ya uwekezaji wangu? Nitakaposhindwa kulipa ndani ya muda husika ni wazi nitafilisiwa na walionikopesha.

Hatma ya mfano huu ni tofauti na uongozi tulio nao sasa japo mifano tangu mwanzo inafanana. Rais ukimsikiliza anachoongea kila leo kwa wananchi ni kama vile ataongiza hii nchi kwa miaka 30. Kwa nini. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na dira ya taifa ambapo pake wakuu wa nchi wanapopokezana uongozi, basi yule mpya huendeleza yaliyoachwa na mtangulizi wake.

Mfano mzuri ni hivi karibuni ambapo baada ya jpm kuchukua madaraka amekuwa akiilaumu serikali iliyopita kwa kutokuwa makini kusimamia nchi. Sasa yeye kaja na kuanza kufumua mifumo kama vile hatukuwahi kuwa na Rais nchi hii. Kinachoinekana ni kama jk hakufanya kitu ndani ya miaka 10.

Kauli kama watu wafyatue (sio wazae) watoto anajua ina athari gani baada ya miaka 10? Baada ya miaka 10 Rais ajaye atakuwa tayari kubeba mzigo ulioachwa na mtanguluzi wake? Au ndio yake yale ya kumlaumu mtangulizi kwa maamuzi aliyofanya ya kuruhusu ufyatuaji.

Kama rais ana mpango wa kutaka kuongoza nchi hii kwa miaka 30 pengine atabeba msalaba wake hadi mwisho. Lakini kama Rais atapisha baada ya miaka 10 ni wazi tunahitaji muongozo wa kitaifa ili mrithi wake nae asije kuanza kupangua yaliyopangwa. Hapa ndipo katiba pendekezwa ya mzee Warioba inapohitajika. Magufuli ataitendea haki?

Miaka kumi ikitimia na mipango ikiwa bado haijatumia nu ngumu sana kwa mchoro wa sasa wa kiuongozi kwa kiongozi ajaye kufanya aliyoacha mtangulizi, mfano kulea watoto waliofyatuliwa miaka 10 iliyopita. Pengine sera zake ni uzazi wa mpango na ana mambo ya msingi ya kusimamia na si kuanza kulea.

Sasa kama mkuu hawezi kufanya kazi zake pakiwa na kelele nyingi hadi kutaka kuzizima kwanza ndipo afanye kazi, itakuwaje atakaposhindwa kutimiza ahadi zake na kuja kutoa kusingizio kuwa ni kelele nyingi zilinifanya nishindwe kuwa makini hivyo kushindwa kutimiza?

Rais kaahidi mambo mengi sana ambayo ni ngumu kutekelezeka kwa miaka 10. Atalazimisha kuendelea kuongoza ili tu akamilishe? Ataweka dira itakayofuatwa na atakayenfuatia? Kama nilivyosema awali, nitafilisiwa nikishindwa kutimiza ndani ya miaka miwili. Nani atamwajibisha Rais pale mambo yatakapokwama?
Hata kwenye kucheza mziki tunashauriwa kucheza bila kujali kama watu wanakuangalia...sasa ukitaka afanye kazi kwa kuangalia miaka 10 iliyombele hakuna kitakachofanyika.. na hii ndio ilitucost kwa jk maana alivyoingia tu madarakani akaanza kujiandaa na kustaafu kwa kutengeneza network pamoja na kuiwezesha familia, ndugu jamaa na marafiki. Yaleyale yakina mkapa kujiuzia mgodi. HATUTOFIKA, KAMUA BABA JPM, KAMUA
 
Kama Nimekusoma Vizuri Unapendekeza Pasiwe Na Ukomo
 
Magufuli akimudu tu kuishi sambamba na upinzani huku akitekeleza ahadi zake basi atakuwa kiongozi wa kupigiwa mfano kuwahi kutokea nchini. Tatizo ndio hilo kwamba kizuri hakikosi kasoro
 
Kama katika hukumu za Mahakama uwa inaruhisiwa ku refer hata sheria za nchi za nje kama zile za makaburu, basi nashauri katika hoja hii tucopy kama kwa Mzee Mugabe kama ikiwezekana. Zaidi ya hapo Katiba izingatiwe
 
Mkuu Cosmo Nadhani Rwanda Itakuwa Mfano Mzuri Zaidi
 
Back
Top Bottom