Mlivyo Matonya mnaogopa kuwaudhi mabwana zenu1.Tanzania ni signatory wa ICC
2. Tanzania inapokea misaada mingi kutoka US, kwahiyo itaharibu mahusiano.
3. AU wanaweza kutusaliti
4. Mwalimu alishawahi kumuita Gaddafi gaidi
5.Gaddafi alishaapa kutokanyaga Tanzania
6. Mizimu ya Gaddafi haipo Tanzania
7. Kenya wameitambua serikali ya waasi kwahiyo wanaweza kutugeuka
1.Tanzania ni signatory wa ICC
2. Tanzania inapokea misaada mingi kutoka US, kwahiyo itaharibu mahusiano.
3. AU wanaweza kutusaliti
4. Mwalimu alishawahi kumuita Gaddafi gaidi
5.Gaddafi alishaapa kutokanyaga Tanzania
6. Mizimu ya Gaddafi haipo Tanzania
7. Kenya wameitambua serikali ya waasi kwahiyo wanaweza kutugeuka
Hivi kumbe una akili timamu ila huwa unajichetua makusudi tu? anyway nimependa comment yako mkuu!1.Tanzania ni signatory wa ICC
2. Tanzania inapokea misaada mingi kutoka US, kwahiyo itaharibu mahusiano.
3. AU wanaweza kutusaliti
4. Mwalimu alishawahi kumuita Gaddafi gaidi
5.Gaddafi alishaapa kutokanyaga Tanzania
6. Mizimu ya Gaddafi haipo Tanzania
7. Kenya wameitambua serikali ya waasi kwahiyo wanaweza kutugeuka
<br />Hivi kumbe una akili timamu ila huwa unajichetua makusudi tu? anyway nimependa comment yako mkuu!
Vizuri sana ni wachache wanatambua hilo1.Tanzania ni signatory wa ICC
2. Tanzania inapokea misaada mingi kutoka US, kwahiyo itaharibu mahusiano.
3. AU wanaweza kutusaliti
4. Mwalimu alishawahi kumuita Gaddafi gaidi
5.Gaddafi alishaapa kutokanyaga Tanzania
6. Mizimu ya Gaddafi haipo Tanzania
7. Kenya wameitambua serikali ya waasi kwahiyo wanaweza kutugeuka
Ghadafi si ndiye aliyemsaidia Idd Amini wakati wa vita ya Tz na Uganda? Kama sio yule rubani aliyeelekeza ndege iliyotoka Libya kutua Dar badala ya Nairobi si tungezungumza mengine kuhusiana naye? Any way hata kama tulimsamehe, tusimpokee. Wenye tamaa ya madaraka ndicho kiwapatacho. Ona mobutu, Iddi Amin na wengine, mwisho atazikwa kama mbwa pamoja na kutawala miaka zaidi ya 40. Na mali alizojikusanyia itakuwa ya nani? Italiwa na mchwa.
<br />Mijitu mizima haiwezi kujisimamia mara ohh Misaada, ohh tutabaki wenyewe ooh Ghadaff alipiga bukoba ooh hili bla blaa kibao the issue here is western colonialist are desperately in need of Libyan Oil!!! na wote mnajua hivi nyie mnaosema Ghadaff mbaya si na nyie mna dhahabu?!! mbona hata vitanda tu kwenye hosptali halkuna?!!! Africans must stand against the new colonisation of this Continent otherwise we are done!! <br />
<br />
You must feel the sense of being black African and be proud of it come rain/ sun!! this is our Continent and we thank GOD for being here!! wake up you people how can u allow this to happen before your eyes!!! i Support the Libyans..i support Muamar Ghadaff...
.............
Kwa vile Tanzania inajua wazi kwamba hatima ya Gaddafi kuongoza Libya imekwishafikia kikomo na kwa kuwa Tanzania imesema haiwezi kuitambua NTC mpaka watakapoanzisha serikali, vipi kama Gaddafi akitua Tanzanzia, tunaweza kukubali au kukataa kumpa hifadhi kwa vigezo vipi?
Mkuu stance yetu sidhani kama ina reflect what is going on the ground. Tayari members 78 wa UN wameitambua NTC. NTC umeomba kuchukua kiti cha Libya UN. Japokuwa mpaka mwanzoni mwa mwezi huu technically bado UN inautambua utawala wa Gaddafi kama serikali inayotambuliwa kisheria, website ya Mission ya UN Libya imeweka sio tuu bendera ya NTC bali pia statements toka kwa NTC.EMT, watawala wetu ni zaidi ya popo! hata hatuwezi kujuwa wanachoweza kufanya maana siku zote tunaishi kwa matakwa yao binafsi na hatuna mjadala wala jinsi, kama alivyofanya Membe kuingiza nchni na wananchni wote katika sakata la kushusha bendera ya NTC kana kwamba hayo ndiyo matakwa ya nchni ndivyo wanavyoweza kufanya lolote ilimradi muhusika ni yule aliyefaidi kiasi gani na mwenye maslahi binafsi kiasi gani na Qadhaffi.
Swala la kuitambua au kuikana NTC ninge iunga mkono angalao kama Bunge lingehusishwa kufikia maamuzi maana Membe ajue hata hakifa leo NTC na Walibya wameweka katika record zao kuwa Watanzania wameshusha bendera yao, hawasemi Membe ndio kashusha au Kikwete wanasema Watanzania, na kama ni chuki yoyote katika medani ya kimataifa kila mwana Libya kila akimwona mtu yeyote anayejiita Mtanzania hisia ya kwanza itakayo mwijia ni kuwa hawa ndio walioshusha Bendera yetu. Ukiangalia swala la Libya lilivyo hakuna nchni yeyote yenye viongozi makini wanaoweza kusema na kufanya kosa alilofanya Membe adharani, maana lilikuwa jambo la UN na organs zake zote.
Hawa watu wavivu kufikiri watatuletea matatizo mengi sana, maana wanaangalia mwisho wa upeo wa meza zao ofisini kana kwamba ndio ncha ya dunia. Walipaswa kuweka misamamo yao wazi tokea mwazo na hata kama vipi basi wangeenda kupambana vitani. NTC siyo watu wa kuuza katika medani ya Kimataifa, ni watu ambao UN inawatambuwa na wamepata full support ya UN hatua kwa hatua hivyo mtu anaye wapuuza anaonyesha yeye mwenyewe alivyo mpuuzi, hii dunia ya leo huwezi kufanya lolote bila Jumuiya ya Kimataifa.
Wajiadae kulipa fedha za Libya najuwa ndio kitakacho fuata hapo, baada hao watu kuunda serikali lazima UN na NATO itawasaidia kuakikisha kila nchni ambayo inafedha za Libya izirudishe, record this waliokuwa adui wa NTC ndio watakaolambishwa pilipili kali kwanza.
,
Mkuu Uganda imeonyesha kukubali kumpatia Gaddafi hifadhi ya kisiasa kama ataomba. Najaribu kufikiria mixed feelings watakazokuwa nazo Waganda ukizingatia alimsaidia Idd Amin.
Mkuu stance yetu sidhani kama ina reflect what is going on the ground. Tayari members 78 wa UN wameitambua NTC. NTC umeomba kuchukua kiti cha Libya UN. Japokuwa mpaka mwanzoni mwa mwezi huu technically bado UN inautambua utawala wa Gaddafi kama serikali inayotambuliwa kisheria, website ya Mission ya UN Libya imeweka sio tuu bendera ya NTC bali pia statements toka kwa NTC.
NTC wamekutana na UN officials mara nyingi. Mwakilishi wa UN kwenye Libyan Contact Group amesema the UN would work with "Libyan authority" to help Libya transition toward democracy. Sidhani "Libyan authority" alikuwa akimaanisha utawala wa Gaddafi.
Nafikiri UN General Assemby inakutana mwezi huu na itakuwa njia nzuri kwa Tanzania na nchi nyingine zinazopinga NTC kusimama kidete kutetea sera zao za nje kwa kukataa NTC kuchukua kiti cha Libya UN. Yasiishie humu ndani tuu.
Mkuu mimi naomba nitofautiane na wewe kidogo katika maelezo yako
Kwanza Tanzania kupitia membe hajasema haiwezi kamwe uitambua NTC. yale maneno yanaenda na muda na events. Membe alisema hawatumbui NTC kwa kipindi hiki amacho bado sitution ni volatile. Hiyo haimaanishai kwamba mamb yakistabilise hata wao waasi wakawa stable basi eti hatutawatambua. Japo nchi yetu ni ndogo na haina role kubwa kwenye mambo ya kimataifa hatutakiwi tu kufuata mkumbo tu . So mpaka hapo membe alikuwa sawa.
Kitendo cha kuwaagiza washushe bedera ni sahihi. Sabau hata hao NTC jina lao linajieleza....... Wht if
Kuhusu kumpa Gadaffi hifadhi inakuwa ngumu sababu ya ICC. Lakini kwa njia moja au nyingine Kumpa Gaddfai hifadhi kwa vigezo na masharti fulani kunawea kustabilize zaidi sitution ya libya.
- baada ya mwezi ai miezi adhaa waasi wakigawanyika kila mmoja akawa na bendera yake. ?
- Mwezi au miwli ijayo libya inagwanyika kunakuwa na libya tripoli na libya benghazi? Balzi ya Tanzania itaiwa ni ya libya ipi?
Mfano Algeria Tanzania au nchi yeyote ya africa. wanaweza kuwasiaid walibya kama wakikubali umuhifadhi gadaffi. Mradi gadaffi akubali akiingia tu hatojiuhusiha na siasa za libya tena .Then hata hao NTC wanaweza kukubalina na algeria au nchi yeyote .kwa manufaa ya pande zote mbili.......... . lakini issue inabaki ni ICC.
Anachokabiliwa nacho gaddfi ni kama alichokuwa nacho Chalres taylor. Winigeria walikubalikumpa hifadhi lakini masharti ya ICC na wafadhili yakawaidi nguvu.
BInafsi naona if it was not for ICC na kama kumhost Gaddfi kutasaidia amani zaidi ya libya na gddafi anakubalinaa na mahsarti tutayompa basi ni wazi hata Tanzania inatakiwa kumfikiria. ....