EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Algeria bado haijaitambua NTC. Hata hivyo, kuna taarifa kuwa Rais wao Abdelaziz Bouteflika amekataa kupokea simu za Gaddafi kama njia ya kumkwepa Gaddafi anayeweza kuomba hifadhi ya ukimbizi baadae. Gazeti la Algeria kwa jina El Watan limekariri source iliyo karibu na Rais Bouteflika ikisema hii sio mara ya kwanza kwa Gaddafi na watu wake wa karibu kujaribu kuwasiliana na Rais kwa majadiliano.
Lakini source inasema position ya Algeria iko "clear and neutral, we refuse to interfere in Libyan affairs. Source inadai ndio maana hawajapinga bendera ya NTC kupeperushwa kwenye ubalozi wa Libya nchini Algeria kwa sababu kufanya hivyo ingekuwa ni sawa na ku interfere na mambo ya ndani ya Libya. Hata hivyo, katika negotiations, Algeria imekubali familia ya Gaddafi kuingia nchini humo.
Kupitia Waziri wetu wa mambo ya nje, Mh Membe, amesema Tanzania inajua wazi kwamba hatima ya Gaddafi kuongoza Libya imekwishafikia mwisho. Hata hivyo, amesema Tanzania haiwezi kuitambua NTC kwa kuwa bado hawajaunda serikali. Kwa sababu hiyo, Membe amefanikiwa kuushinikiza ubalozi wa Libya Tanzania kushusha bendera ya NTC na kupandisha ile ya utawala wa Gaddafi.
Kwa vile Tanzania inajua wazi kwamba hatima ya Gaddafi kuongoza Libya imekwishafikia kikomo na kwa kuwa Tanzania imesema haiwezi kuitambua NTC mpaka watakapoanzisha serikali, vipi kama Gaddafi akitua Tanzanzia, tunaweza kukubali au kukataa kumpa hifadhi kwa vigezo vipi?