Tumpambe Maua

Dreva kazi kwake kuona mbele atajuta! haya mapambo mengine yawe yanazingatia na vitu vya muhimu
 
Dreva kazi kwake kuona mbele atajuta! haya mapambo mengine yawe yanazingatia na vitu vya muhimu
Mimi ndio dereva,muda huu hakuna shida maana jua linawaka,ila mniombee mvua isinyeshe.
 
Mimi ndio dereva,muda huu hakuna shida maana jua linawaka,ila mniombee mvua isinyeshe.

Hhahahahahaaaaa ikinyesha mvua ni shiidaa heheheheee waipa itaharibu kila kitu looh
 
Mpambaji wa huku anaweza akaiga ila kioo cha mbele chote akakiacha wazi, maana huku traffic lazima wale na wewe sahani moja...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…