Kwa hiyo mabaya yasingekuwepo, mungu angeshindwa kutuonyesha upendo wake?
Nikifikiri mnasema huyu mungu hakuna kinachomshinda? Inakuwaje sasa?
Kwa msingi huu, unaweza kuwa hakimu ukaletewa baba kamchinja mtoto wake, unamuuliza kwa nini umemchinja mtoto wako? Anajitetea kwa kusema nisingemchinja huyu, wale wengine wasingejua kwamba nawapenda.
Mhhh kwa hiyo huwezi kujua kama mtu anakupenda mpaka uone ubaya toka kwake au kwa wengine???
Mbona upendo ni kitu kinachojitosheleza sana wala hakihitaji sapoti toka upande wa pili?
(Kitu original kinajulikana kulingana na ubora wake sio kwa kufananishia na feki)
Point yako inaonyesha udhaifu mkubwa sana kwa huyo Mungu