Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Asante Mkuu, Ushauli Mzuri!!! Maisha Bila Mungu Ni Vibaya.Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
Nimemuelewa Ni Sehemu Pia Ya Kumuomba Mungu Akupatie Mwenza Anaefah Maishani.Kwahiyo wewe kanisani waenda fuata wachumba tu??
Kanisani Ni Kwa Ajil Ya Ibada Mbali Mbali, Unawez Enda Kumuomba Mola Akusaidie Kwenye Jambo Linalokutatiza, Sio Mchumba Tuu. Japo Imani Pia Usaidia.Kama mtu tayari ana mchumba mcha Mungu,basi asiende kanisani. Ndio?
Mungu ametuumba kwa ukamilifu na kutupa uhuru, ni kazi yako wewe mwenyewe kujua na kuishi malengo yaliyokuleta duniani ( kwa kushirikisha mwili, nafsi na roho, utatu wako) na uwe tayari kujibu kama kweli iliishi hayo malengo.
Kwahiyo wewe kanisani waenda fuata wachumba tu??
Hujajibu swali la kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Halafu unaposema mungu katuumba na kutupa uhuru, mimi leo nataka uhuru wa kurudi 1985 ili nirekebishe mabaya yote niliyoyafanya tangu hapo.
Mbona hajanipa hilo?
Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
jibu nimekupa, ni kazi yako kujua namna ya kushirikisha upeo wako kulitambua, kila kitu umepewa, jifunze namna ya kushirikisha utatu wako utaelewa uwepo wake. Pia huna haja ya kurudi nyuma, endelea mbele kwa kuishi upya maisha mema yenye upendo wa kweli kwa nguvu zako zote.
mungu??????? Mmmh, mimi namcha Mungu na si mungu. rekebisha hapo mkuu...
UBARIKIWE
Kazi, kama ilivyoandikwa kwenye biblia, ni laana iliyotokana na uasi wa Adamu.
Kwa nini mungu hakuumba ulimwengu ambao uasi na laana inayotokana na uasi haviwezekaniji kama kweli yupo na ni muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote?
Hili ndilo swali langu.
Hujalijibu.
Unaniambia tu kwamba ni kazi yangu kujua namna ya kushirikisha upeo wangu.
Kwa nini nipewe mimi kazi , kazi ambayo kimsingi ni laana ya kukosa utiifu, kukosa utiifu ambako hata hakutokani na chochote nilichofanya mimi bali watu wa vizazi visivyohesabika kabla yangu kama unaamini biblia?
Huyu mungu yupo kweli au ni hadithi tu?
Kazi, kama ilivyoandikwa kwenye biblia, ni laana iliyotokana na uasi wa Adamu.
Kwa nini mungu hakuumba ulimwengu ambao uasi na laana inayotokana na uasi haviwezekaniji kama kweli yupo na ni muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote?
Hili ndilo swali langu.
Hujalijibu.
Unaniambia tu kwamba ni kazi yangu kujua namna ya kushirikisha upeo wangu.
Kwa nini nipewe mimi kazi , kazi ambayo kimsingi ni laana ya kukosa utiifu, kukosa utiifu ambako hata hakutokani na chochote nilichofanya mimi bali watu wa vizazi visivyohesabika kabla yangu kama unaamini biblia?
Huyu mungu yupo kweli au ni hadithi tu?
Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
Mungu amekupa wewe uhuru wa kuchagua mema au mabaya na muda wa kujitambua pale ulipokosea ( hii utokea pale mtu anakaribia kufariki) nahitaji kujua, wewe unavyoona, umeletwa duniani ili ufanye nini? je mfano ukimtukana mtu, aliyetukana ni wewe au wazazi walio kuzaa? Pia ukihitaji nitakufundisha, kuna viungo vya ufahamu zaidi ya vitano, unafahamu hilo?
Na pia kila mtu ama bado au ana namna yake ya kumtafuta Mungu, si lazima ujue biblia ndo uamue sasa unaishi upendo wa kweli, Vizazi vyetu hapo nyuma hawakuifahamu biblia ni kitu gani, lakini waliongozwa ktk misingi ya haki na mshikamano na upendo wa kweli. Haijalishi umekulia ktk mfumo gani, ila ni wewe namna utavoweza ishi maisha mema yenye upendo wa kweli
Hujajibu swali uliloulizwa.
Kama kuna swali umejibu, si nililouliza.
Kwa nini mungu muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayaewezekani?