Chadema wawe makini sana kwa sasa CCM wamerudi kwenye mkakati wa siasa za kupiga propoganda badala ya kuteka na kumtumia msajiri ambako kimsingi walichukiwa na wananchi,hili la propoganda ndiyo siasa yenyewe,CDM wawe makini sana na CCM wako vizuri pia kwenye hili na nyenzo za propoganda wanazo za kutosha. Wanaweza kusambaratishwa vizuri CDM kama walivofanya kwa TLP,NCCR na CUF.