Mkurugenzi wa TBL angehamia Tanesco kusingekuwa na tatzo la mgao wa Umeme cz ni mtendaj mzuri bia hazijawahi kuisha kabisa wala hana vijisababu vya ajabu ajabu. Ni mawazo yangu tu ya kiweekend
😜😜😜😜😜
Khaa!! Wazo zuri sana. Nenda ukazimue chief :glasses-nerdy:Mkurugenzi wa TBL angehamia Tanesco kusingekuwa na tatzo la mgao wa Umeme cz ni mtendaj mzuri bia hazijawahi kuisha kabisa wala hana vijisababu vya ajabu ajabu. Ni mawazo yangu tu ya kiweekend

Ukiangali kwa upeo mfupi myopic glance unaweza kusema tatizo la tanesco ni mkurugenzi lakini hapo unalinganisha usiku na mchana!. Tbl ina wenyewe ownership tanesco haina mwenyewe ni kimaanisha kwamba hakuna mtu hata mmoja anakosa usingizi pale tanesco wapopata hasara lakini kwa tbl kesho yake mkurugenzi asingekuwa na kibarua . Matatizo ya tanesco ni ya kimfumo zaidi kuliko kiutawala.
Huo mfumo ndio tunakwenda kuushughulikia october 25.Ukiangali kwa upeo mfupi myopic glance unaweza kusema tatizo la tanesco ni mkurugenzi lakini hapo unalinganisha usiku na mchana!. Tbl ina wenyewe ownership tanesco haina mwenyewe ni kimaanisha kwamba hakuna mtu hata mmoja anakosa usingizi pale tanesco wapopata hasara lakini kwa tbl kesho yake mkurugenzi asingekuwa na kibarua . Matatizo ya tanesco ni ya kimfumo zaidi kuliko kiutawala.
Kwa maana iyo, tanesco inaweza kujiendesha hata bila ya mkurugenzi? Unazijua duties za mkurugenzi mkuu??
Kwa ushauri huu basi tunayo kila sababu ya kuuvunja mfumo!! October 25
Huo mfumo ndio tunakwenda kuushughulikia october 25.
Labda tusaini petition ili Tanesco apewe Bakhresa. Kwa sasa kabakisha kufungua mashule na mavyuo vikuu. AUST (Azam University of Science and Technology)
Acha mbwembwe bia na umeme wapi na wapi.
Hili sio taifa la walevi
Mkurugenzi wa TBL angehamia Tanesco kusingekuwa na tatzo la mgao wa Umeme cz ni mtendaj mzuri bia hazijawahi kuisha kabisa wala hana vijisababu vya ajabu ajabu. Ni mawazo yangu tu ya kiweekend
😜😜😜😜😜
Kweli kinachotakiwa ni kulibinafsishaUkiangali kwa upeo mfupi myopic glance unaweza kusema tatizo la tanesco ni mkurugenzi lakini hapo unalinganisha usiku na mchana!. Tbl ina wenyewe ownership tanesco haina mwenyewe ni kimaanisha kwamba hakuna mtu hata mmoja anakosa usingizi pale tanesco wapopata hasara lakini kwa tbl kesho yake mkurugenzi asingekuwa na kibarua . Matatizo ya tanesco ni ya kimfumo zaidi kuliko kiutawala.
Madini, gesi na wanyama je?mapato ya serikali yako yanategemea kodi kwenye BIA(POMBE), SODA, SIGARA.
hili ni taifa la walevi, watu wamelewa pombe(VIROBA) na madaraka.
Madini, gesi na wanyama je?
Tanesco hawana tatizo lolote la kiutendaji sema wanaingiliwa na wqna siasa, muda mwingine shirika linafanya miradi ya kisiasa isiyo na tija wala faida kwa shirika ndio maana kila siku ni hasara.
Wa kulaumiwa ni ccm, cha ajabu shirikila likiharibu alietakiwa kuwqjibika ni waziri au katibu mkuu badala yake wanawawajibisha wakurugenzi ambao kimsingi hawahusiki.
hii ndio ile dhana inayoitwa ''USIASISHAJI WA BIASHARA, NA UBIASHARAJI WA SIASA''
TUMEFIKISHWA HAPA NA CCM.
CCM NI GENGE LA WAHUNI,
CCM NI CHAKA LA MAFISADI,
CCM NI KIJIWE CHA WAUZA SEMBE,
CCM NI KITENGO CHA RUSHWA,
CCM NI KAMBI YA MAJAGILI,
CCM NI KITUO CHA UGAIDI.
CCM NI ILEILE , CCM HAITABADILIKA, CCM
CHAGUA UKAWA.