Tumjue kiundani Nabii Michael Leshu

Tumjue kiundani Nabii Michael Leshu

mbuchi1987

Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa. Asanteni
 
Mimi nikishaona mtu alieko duniani bado halafu anajiita namuona kama mtu wa kukimbiwa kama ukoma, wote wanakuwa wezi, wazandiki na zaidi wachumia tumbo
 
watajuana wao na Mungu wao hao manabii wakati ukifika lakin nina wasiwasi nao. Hadi atabili maisha yako!? Si rahis kupata nabii mwenye upako huo kwa karne hii
 
Huyu akiangalia picha tu nasikia anaweza kujua wewe unamapepo au la.....
 
Nyakati za mwisho imetabiriwa kutakuwa na manabii wengi wa uongo, kazi kwako
 
Haha mie hata sijui bali lakini nasikia yeye akiangalia picha tu anakusoma fasta ..... mhhhhh wamama wengi mjini ndo wafuasi wake
 
Inatisha kitu kinachonishangaza ni nini inawafanya watu waamini hawa manabii feki zaidi?
 
Manabii wa karne ya 21 kazi kweli kweli.
 
sio wewe mwenyewe kweli??

Mods, mtumieni huyu jamaa invoice kwa hili tangazo lake.
 
hahahah wazandiki hapo umeniacha mbali. lakini ni nini kinamfanya binadamu kutokuwa na haya kula na kudanganya watu na kuharibu familia za watu kwa kutumia jina la yesu .. ili ajaze mavi choo?
 
Haha si tangazo jamaa ameharibu sana familia ya ndugu yetu sasa tungependa kumjua zaidi
 
Maana kafanya ndugu yetu kutuona karibu kila mutu anamapepo hivyo nibudi kuuliza maana familia nyingine wanaweza wakawa wanaumia kaa sisis
 
Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa. Asanteni
sasa huyo ni nabii au specialists wa utabiri na mapepo??

HEbu acheni kumchezea mungu kwa kutangaza biashara kama tisheti za ccm
 
Maana kafanya ndugu yetu kutuona karibu kila mutu anamapepo hivyo nibudi kuuliza maana familia nyingine wanaweza wakawa wanaumia kaa sisis

Hawa manabii-pepo wamejaa sana siku hizi na wote ukichunguza wanatokea kwenye familia zenye imani za kishirikina na kutoaminiana

They should be ignored
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom