Tumjibu Mtatiro

Hallow wana JMF. Kwa mara yakwanza nimeona nami niseme. Kama kweli Bw. Itatiro kasema hayo kutoka moyonI basi hakuna haja ya kupoteza fedha na muda kudhani tutakuwa na Katiba Mpya/ mabadiliko ya Katiba . Haiwezekani wahusika wakakubaliana na marekebisho yatakayokuwa tofauti kimsingi na sheria iliyosainiwa na Mh. Raisi. :eyebrows:
 
Wanzibari sijui wamemchukua msukule!!!! Walipoenda kumwona rais nadhan mtanganyika alikuwa peke yake
 
Hili ni janga lingine la Taifa, hata angekuwa chama gani bado yake nisingeikubali, kwani huyu nae umasaburi ameunza lini?
 
Soon MTATIRO tutaanza kumrank IQ yake sawa na NAPE
 
jamani twende mbele na kurudi nyuma......

tunakubali, kama hiki ndicho kweli alichokisema mtatiro then he's full of it (i mean s...t).
kwa mantiki ile ile, kwa kusaini ile toilet paper pale ikulu siku ile mnyika also is full of it!
 
.......kumbe kuna wakati unaweza ukaacha kufikiri kabisa (hapa kama mtatiro), halafu ukatarajia nchi ya ahadi.. ama kweli njaa ni issue ndugu zangu,
 
Huyu jamaa tayari ameharibikiwa,amekuwa kama hawa wala ulojo au anaogopa kufukuzwa ukatibu?simuelewi kuwa hajui nini kilichomo ndani ya Sheria iliyosainiwa na JK,nani na wakati gani itarekebishwa ?hajui wenzake CCM A wameiandika hivyo kwa maslai yao na yeye kakodoa macho tu bilaya kutambua usiri wa Sheria hiyo?hawa ndio tunataka wawe viongozi wetu kweli?siajabu tukazama nungwi na kupoteza wapiganaji wetu mashuhuri,hivi hajui kuwa kuna miaka 5 jela au 15.0m faini au vyote kwa pamoja si vinatuhusu sisi tunaokataa walifanyalo juu ya Katiba mpya?
Amakweli hata mume akikojoa kitandani huwezi sema kwako itakua sawa na unaweza msaidia na wewe kwa kukojoa kitandani.
 
Mtatiro ana akili sana,

CUF wako kwenye right track so far..
 
Upeo wake wa kufikili umefika mwisho.Anahitaji maombi.

Mwacheni huyu jamaa ''alone'' utoto unamsumbua akikua ataacha ujinga. Na sidhani kama atakua, anaonekana anaendelea kudumaa kwa kwenda mbele!!!
 
Mwachilieni mbali huyu jamaa, akikua ataacha ujinga. Na sidhani kama atakua, maana anaonekana anaendelea kudumaa kwa kwenda mbele.
 
kwa mtindo huu bora vyama visiende ikulu maana wakitoka huuko wanakuwa wabovu mara mbili yake tafadhariNCCR msiende ikulu kwenye juice zile
 

mtatiro siku hizi ana swali kwa mtoro.
 
Muda utafika tz itapata katiba bora kwa wananchi wake, hatuhitaji na hatutegemei wrong way ilete right answer kwahiyo ccm waendelee tu na Mungu tunaye muamini atatuwezesha oneday kupata kitu tukitakacho.
 
Huyu mtatiro bwana...hivi walimtafsiria baba riz ule mswada..ina maana hajui kingereza?
 
Frankly speaking, Mtatiro was very strong man by the time he was at the University Level, but at this in the political position he is not fit.

Labda ni kwa sababu ya chama alicho nacho kwa sasa. For me I suggest, Mtatiro ahame chama kwa kwenda CDM, CCM au aanzishe chama kingine lakini hapo KAFU he is just wasting time!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…