asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........
Hili halina ukweli wowote. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wale ambao hawajiamini na wanaodhani kwamba mume kuwa karibu na ndugu zake basi ni kuhatarisha uhai wa ndoa yao. Nimewaona Wake wengi tu ambao wanaweka jitihada za hali ya juu ili wawe karibu na ndugu wa mume wakiwemo Wazazi wa mume.
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........
hili halina ukweli wowote. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wale ambao hawajiamini na wanaodhani kwamba mume kuwa karibu na ndugu zake basi ni kuhatarisha uhai wa ndoa yao. Nimewaona wake wengi tu ambao wanaweka jitihada za hali ya juu ili wawe karibu na ndugu wa mume wakiwemo wazazi wa mume.
Wengi wao niliopata kuwafahamu kwa karibu nimeona juhudi zao kubwa za kuwa karibu na ndugu wa upande wa mume. Sijui unaposema wa "sasa au wa zamani unamaanisha nini"...hebu fafanua hapo.
wengi wao niliopata kuwafahamu kwa karibu nimeona juhudi zao kubwa za kuwa karibu na ndugu wa upande wa mume. Sijui unaposema wa "sasa au wa zamani unamaanisha nini"...hebu fafanua hapo.
wanawake wanaopenda kuwa karibu na ndugu wa mume wako wengi sana ila kuna baadhi ya wanawake wanapenda kuwatenganisha mume na ndugu zk ht mke wng anatabia hy.
angel msoffe-lengo lako ni nini hasa kabla sjachangia?ni kumfanya mumeo ***** au ni nini hasa!
Mana uliza wazazi ***** pia mana huwa wanafarakanisha mwanamke na mumewe na wanafanikiwa wala haiwekewi vikao.
Labda ungeweka mwelekeo ili watu waufuate hali wakijua wanaijenga jamii au wanaibomoa.
Nafikiri tuko zaidi humu kujifunza so ukifanya ivo itasaidia wengi kutokana na majibu yatakayopatikana.