Tumieni simu kukamata trafiki wakipokea rushwa

Tumieni simu kukamata trafiki wakipokea rushwa

Kuna siku trafiki alinisimamisha maeneo flani kosa nimevuka kabla taa haijaruhusu,mdada mmoja hivi mnene kiasi akaja,nkamwambia tumalizane basi akasema ye anamalizana na mume wake usiku,nkamwambia ngoja nkutoe ya maji basi akasema hana shida kwake anakamua juice kabisa dah yani aliniwekea ngumu kila kona mwishowe akaniandikia tu ikabidi niwe mpole[emoji17] [emoji17] [emoji17] hata moyo wa kumuomba namba nkawa sina
 
Ngoja siku moja hiyo sandos iingie chini ya accelerate

utamuelewa traffic
Naelewa..lakini angenielewesha tu akanisamehe. Lkn alivyonikomalia utadhani sijui nn. Hapo ni baada ya kutafuta makosa mengine akakosa.
 
Wengi mnashindwa kuelewa polisi wakizuiwa kuchukua rushwa hawatakamata watu kwa makosa ya kipumbavu.

Polisi akikuandikia faini una hiari kuilipa au kugoma kulipa na kujitetea mbele ya hakimu. Na polisi asipotokea mahakamani unashinda kesi. Akikosea vitu muhimu kama tarehe au wakati kwenye hiyo faini unashinda kesi. Hata ukishindwa kesi kutokana na maelezo yako bado hakimu anaweza kufuta faini au kuipunguza

Matokeo yake kwa nchi kama Marekani mtu anaweza kukaa hata miaka kumi hajapigwa faini na trafiki wa barabarani.

Sasa wabongo mnakamatwa mara kumi kwa siku halafu mnajiona wajanja kulipa elfu tano tano. Hamjui kuwa mnallipa zaidi ya hiyo elfu thelathini ya halali.
 
Back
Top Bottom