Best Anko
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 409
- 778
Siku za hivi karibuni wametokea wanaume wenye tabia ya kuweka hadharani mambo wanayoongea PM na wanawake wa humu JF.
wa kwanza aliexpose maisha ya wanawake 15 aliochat nao PM, wa pili ni huyu aliyeenda kukutana na mwanamke wa JF kwa mara ya kwanza.
nadhani ni watu wanaojaribu kuyalinda mahusiano yao kwa kuaminisha wanawake kuwa wakichat na wanaume PM siri zao zitavuja. kwa kutumia strategy hii wanawake wataogopa kusocialize PM na wanaume wa JF na itasaidia kupunguza usaliti wa kimapenzi.
sijaona sababu kuu ya kuweka hadharani mambo mliyoongea mafichoni zaidi ya hii ya kuwatisha wanawake.
Bado siamini kama kuna mwanaume mkamilifu anaweza akafanya huu upuuzi. inawezekana ni mashoga wanataka kutuharibia sisi wanaume tuonekane tuna tabia za kishenzi kama wao.