TUMIA VIRUTUBISHO ASILIA (ORGANIC NUTRIENTS)

TUMIA VIRUTUBISHO ASILIA (ORGANIC NUTRIENTS)

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Hey! Hujambo?

Je! Unafuga? Unalima? Na una ndoto ya kuwa mjasiriamali kwenye kilimo na ufugaji?

Tambua kwamba matumizi ya kemikali ni hatari kwa mimea, wanyama na binadamu pindi tu watakapotumia mazao yaliyozalishwa kwa kutumia kemikali.

EMO ni mbolea ya maji inayoandaliwa kiasili ambayo matumizi yake kwa kwa kilimo na mifugo imeonesha kufanya vizuri sana. Itumie kwenye Hydroponics Fodder upate mazao bora.

Epic Organic Fertilizer ni mbolea ya maji inayofanya mimea kustawi vizuri na kuzaa matunda mengi na matamu. Ijaribu leo uone utofauti.

Epic Animal Feed ni kimiminika kinachochanganywa kwenye maji au chakula cha mifugo kwa ajili ya kuddhibiti magonjwa na hivyo mfugo kukua ukiwa na afya bora. Pia inaboresha mazao yatokanayo na mifugo (maziwa, mayai na nyama).

Daima sisitiza organic fertilizer na boosters kwa ajili ya kupata mazao bora ya kilimo na mifugo.

Tupigie simu 0655533543 tutakutumia popote ulipo kwa njia ya magari.
Epic Animal.jpg

Epic Organic Fertiliser.jpg
 
Namba hiyo iko hewani muda wote .. ila kwa saa za kazi tuma SMS ... baada ya saa za kazi unaweza kupiga simu au WhatsApp. KARIBU.
Na mie baada ya saa kazi siwezi kupiga simu!!!
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Ieleweke kwamba ubora wa mazao ya kilimo na mifugo unapungua kutokana na matumizi ya mbolea / virutubisho vya kemikali. Kuna wakulima mkoani Kagera walilima Chia na zikastawi vizuri na mavuno yakawa mengi - lakini kwa kuwa wengi walitumia mbolea za kemikali - wanunuzi wamegoma kununua chia toka Kagera na badala yake wananunua toka Uganda.
Tusipochukua hatua kwenye matumizi ya kemikali TUTAPATA SHIDA SANA.
 
Back
Top Bottom