Madhara ya vita nchini DRC. Watoto hawa wamekuwa displaced kutokana na fujo za vita huko Goma Mashariki mwa Congo, ambapo chanzo kikuu ni madini yaliyopo eneo hilo.
Kilichonivuta na kunisikitisha ni jinsi ambavyo dada mtu hakukubali kumwacha mdogo wake nyuma...Jiulize; Je watoto hawa wamekula chochote?...Je wana uhakika wa kukutana na wazazi wao tena?
Mkuu mie mwenyewe ndio nimepiga hiyo picha...wala sio photoshop hapo ni bunia wanaume wa congo hawafanyi kazi za nguvu kama hizi...wao fanya ni wanawake..nii ilikuwa 2008..zipo na zingine...kama hizo mpaka sasa ukipita barabarani unaweza pata shot kadhaa....