Hello wapendwa..
MSIMU WA KILIMO Umewadia na unaendelea kwa mikoa mingine..
Jipatie mbolea nzuri ya BioPlus isiyo na Kemikali kwa matokeo mazuri zaidi!
*BIOPOWERPLUS ORGANIC FOLIO FERTILIZER*
Hii ni mbolea isiyo na kemikali hata kidogo, ni mbolea iliyotokana na viumbe hai yaani wanyama na mimea ya magugu maji, mbolea iliyotengenezwa baada ya utafiti wa kina kufanyika nchini China na kutengenezwa katika muunganiko wa viwanda vitatu vikubwa bora zaidi duniani.
Mbolea hii haina madhara kwa binadamu wala wanyama hivyo unaweza kula mazao yako hata baada ya kuitumia , pia imesheheni virutubisho vingi Kama vichochezi au hormone, vitamin na madini yote muhimu ambayo huhitajika katika mimea yaani *macro nutrients* na *micro nutrients* wakati mbolea nyingi za viwandani huwa na *macro nutrients* tu.
*MAZAO GANI UNAWEZA KUTUMIA MBOLEA HII??*
Mbolea hii inaweza kutumika kunyunyizia mazao au mimea yote haibagui, hivyo unaweza kuitumia kwa mazao kama nafaka yaani (mahindi, mpunga, ngano mtama, ulezi, nk)
Jamii ya mikunde kama (maharage,kunde,mbaazi,choroko, dengu, nk), vilevile maua , majani ya bustani , miti ya matunda kama ( maembe , mapera, malimau, mapapai nk)...mboga mboga za majani na mazao yenye kutoa matunda kama ( matikiti maji, vitunguu, nyanya, hoho, Pili pili ,kabeji ,spinachi nk)..pia mazao yanayohifadhi chakula chake ardhini kama vile (viazi,vitunguu,karanga,mmihogo, njugu mawe na mananasi nk)...vilevile mazao ya biashara kama vile (pamba,alizeti, karafuu, korosho ,na kahawa nk ) na mengine mengi.
*VIAMBATA MUHIMU VYA MBOLEA HII*
Kwa kuwa imezingatia mahitaji yote ya mmea ikiwa ni pamoja na virutubisho vyote vinavyohitajika kwa wingi katika mmea (macro nutrients) mbolea hii ina *Nitrogen, Phosphorus, Potassium, Calcium, Magnesium na Sulpher*
Pia mbolea hii ina (micro nutrients) yaani madini au virutubisho vyote vinavyohitajika kwa kiwango kidogo katika mmea vikiwa ni *Zinc, Ferrous, Copper, Boron, Manganese, Silicon, Molybdenum, Sodium, Cobalt, na Chlorine*.
Kwa kuwa Amino acids ni muhimu katika ukuaji wa mmea ,mbolea hii imesheheni aina zote nne za Amino acids. Amino acids huusaidia mmea kukua haraka, kuwa na ujazo mkubwa, huusaidia mmea kupambana na magonjwa na ni vigumu kuadhiriwa na magonjwa mbali mbali. Mbolea hii huhifadhiwa katika ujazo wa liter moja (1000ml).
*MATUMIZI YA MBOLEA HII*
~Mbolea hii hutumika Kwa kuinyunyizia katika mazao na wakati mwingine kulowekea mbegu.
~Mbolea hii unaweza kutumia kwa kupandia na kukuzia mazao.
~Kutokana na mbolea hii kusheheni virutubisho vingi zaidi katika ujazo mdogo unapata fursa ya wewe mtumiaji kuichangaya na maji kwa kiwango elekezi kabla ya kuitumia ili uweze kutumia katika eneo kubwa na uwe na matumizi mazuri ya pesa zako.
~Chupa moja(1)ya mbolea utaitumia katika hecta 6.7 au heka 16.5 ninasema hivyo Kwa kuwa
1. Unaweza kuchanganya litter 1 ya mbolea katika litter 1000 za maji.
2.Kama shamba ni dogo yani heka moja tu unaweza kuchanganya kifuniko cha mbolea yaani mills 50 za mbolea kwa litter 50 za maji, nyunyizia mpaka umalize kisha changanya tena kama shamba halijakamilika.
3. Kama ni kijibustani unaweza kuchanganya 5mils/5cc za mbolea na kuchanganya na litter 20 za maji.
NB: *Mbolea hii haiunguzi mazao wala haina madhara kwa mmea hata ikizidishwa vipimo*
*WAKATI GANI UTUMIE AU UNYUNYIZIE MBOLEA HII?*
Unashauriwa unyunyizie mazao yako wakati wa alfajiri mpaka asubuhi ya saa mbili na nusu ambapo jua halijawa Kali na wakati wa jioni kuanzia saa kumi na moja jua likiwa limezama, hii ni kwa sababu mmea utafyonza mbolea yote na virutubisho vyote kwani kwani stomata zitakuwa wazi na madini au virutubisho vya mbolea havitaharibika kwa jua. Unashauriwa uichanganye na maji wakati unataka kuitumia , iwapo itabaki mfano ni asubuhi basi itumie siku hiyo hiyo jioni kunyunyizia.
*JINSI YA KUNYUNYIZIA MBOLEA HII*
Kuna njia nyingi sana zikiwemo
~kubeba kifaa mgongoni chenye dumu na bomba na kunyunyizia shamba lako.
~Unaweza kumwagilia mbolea katika mazao kwa njia ya drip(drip irrigation).
~Unaweza kutumia sprinkler ama kifaa chochote kurusha maji
~ Katika shamba la miti mirefu unaweza kunyunyizia katika mizizi na matawi.
~Kutafuta utaratibu wa kutengeneza mfumo wa kunyunyizia kama mvua inyeshayo hasa kama mazao ni mafupi au kama la Maua na mboga mboga au kama shamba ni kubwa sana.
*MATOKEO/MABADILIKO*
Baada ya kuitumia mbolea hii matokeo mazuri utayaona mapema sana yaani baada ya siku saba (7) tu.
*FAIDA YA MBOLEA HII*
Mbolea hii inakuhakikishai mambo mengi ikiwemo:-
~Kuongeza uwezo wa mmea kufyonza madini lishe mbali mbali kutoka katika udongo na pia kuotesha mizizi na matawi haraka.
~Kuongeza uwezo wa mmea kujitengenezea chakula chake.
~Huongeza rutuba ya shamba lako na uhifadhi wa unyevu nyevu kwa muda mrefu.
~Pia hurudisha *PH* ya udongo kufikia kiwango kinachohitajika kwa mmea yaani kati ya 6-8
~Huwezesha mmea kuhimili upepo mkali, ukame, baridi Kali, na magonjwa.
~Hufanya mmea kuota mapema na iwe na Afya njema nk.
~Huongeza thamani ya mazao yako kwani huwa mengi ,makubwa , yenye rangi na ladha nzuri na yenye kuvutia sana.
TUKO DODOMA MJINI-SABASABA (Utatumiwa Ulipo)
Bei ni Tshs. 70,000 kwa chupa ya Lita moja ambayo inatosha kwa takribani eka mbili (2)..
*Ahsante na karibu Contacts 0713388317/0757749641*