Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,185
- 29,917
POLE MI KUNA KIPINDI WALINISUMBUA NIKAINGIA TWITTER NIKAWATUNISHIA MISULI WITHIN SECONDS PESA IKARUDI KWENYE SIMU YANGU LAKINI HAPO NILISHAKAA SIKU ALMOST 6 ZA KAZINimelazimika kulalamika katika mtandao huu wa JF maana nana M-Pesa sasa hivi ni very risky.
Jana nimemtumia mtu pesa kwa M Pesa akiwa dukani ili anunue madawa muhimu sana kwa mgonjwa.
Jama dawa kazipata zote na zilikuwa na gharama kubwa.
Nikatuma hela kwa M-Pesa immediately.
Baada ya nusu saa meseji ajapata kuwa pesa imeingia kwake.
Nikawapigia M Pesa kwa huduma ya jamoo, namba 100.
Jibu standard, tunatuma ujumbe mwingine.
Baada ya nusu saa tena meseji haijaenda.
Nikapiga tena no 100 huduma kwa wateja, jibu bado standard, tutatuma meseji tena.
Baada ya masaa mawili bado meseji y kuchukua fedha haijaenda, nikawapigia MARA YA TATU!
Jamaa wa Voda M-Pesa wananiambia , tatuma meseji tena, tukusaidie tatizo jingine?
I blew my top.
Rudisheni hela yangu immediately, kama mmeshindwa kutuma.
Jamaa wa M Pesa , itabidi usubiri withi 24hrs!
Leo napiga no 100 huduma kwa wateja , wananijibu, inabidi usubiri siku nne kurudishiwa pesa!!
Mgonjwa wangu kue yuko hoi bin taaban.
USE VODACOM M-PESA A YOUR OWN RISK!!
Mimi najitoa.
Wanasheria mliomo humu JF, hamuwezi kutushauri jinsi ya kudai damages for non rendering of service.Ni wakati wa Watanzania kuyashitaki haya makampuni yanapotokea matatizo kama haya maana wametuzoea mno hawa watu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna rumours kuwa wafanyakazi wana mtindo wa "kujikopesha" hela za wateja.
Hilo ni wazo jema!Wanasheria mliomo humu JF, hamuwezi kutushauri jinsi ya kudai damages for non rendering of service.
Mtu kutuma hela kwa mgonjwa isifike in time, akipoteza uhai si lazima iwepo kesi?
We acha tu, MPesa wameni bore sana.POLE MI KUNA KIPINDI WALINISUMBUA NIKAINGIA TWITTER NIKAWATUNISHIA MISULI WITHIN SECONDS PESA IKARUDI KWENYE SIMU YANGU LAKINI HAPO NILISHAKAA SIKU ALMOST 6 ZA KAZI
HAHAHAHA WATAKUSUMBUA MPAKA UFURAHI MI WALISHANITESA SANA HALAFU HIYO PESA ILIKUWA YA MUHIMU MAHALI AISEE NILIAPA KUTOTUMIA TENA MPESAWe acha tu, MPesa wameni bore sana.
Inabidi mgonjwa niulizie bank account nitume pesa kwa njia ya kizamani.
Ni wakati wa Watanzania kuyashitaki haya makampuni yanapotokea matatizo kama haya maana wametuzoea mno hawa watu..
Hapa nilipo natamani kupiga mtu yeyote wa Voda!HAHAHAHA WATAKUSUMBUA MPAKA UFURAHI MI WALISHANITESA SANA HALAFU HIYO PESA ILIKUWA YA MUHIMU MAHALI AISEE NILIAPA KUTOTUMIA TENA MPESA
TCRA wanashindwa kuwajibika, watu wanapoteza au kucheleweshewa amana zao, wao wamefumba macho.Washtakiwe kwa nani? Hawayaoni hayo matatizo? Unapiga simu Huduma kwa wateja basi kwanza full matangazo, kisha wanakutajia huduma. Mfano Halotel Inachukua hadi nusu saa mpaka saa 1 kuweza kupata kuwasiliana na huduma kwa wateja, choices zao hazipo clear, unaguess tu. Tigo nao ndo mashaka ya roho, ukibonyeza namba ya kuwasiliana na mhudumu tu apo apo unaambiwa asante kwa kupiga tigo simu inajikata.
Transactions zao hazipo instant, magumashi matupu. Halotel unatia vocha kujiunga kifurushi mara unaambiwa salio halitoshi, hapo ulikuwa ushazima Data na hujapiga wala kutuma sms. Ukibahatika kuwapigia huduma kwa wateja wanakwambia umetuma sms kwenda na namba ya international, hii ilishantokea mara 2, na wamekataa kunambia namba ipi, wanasema niende ofisini kwao.
Kwa kifupi, TCRA haina mashuhulikiaji kwenye hii mitandao, inajifanyia inavotaka tu na si kwamba labda hawajui wanajua vizuri tu.
HEE MKUU TULIZA JAZBA HUWA WANAUDHI MI NILIGHAFILIKA SANA KWAKWELI NIKAWAPA MAKAVU LIVE KULE TWITTER WAKARUDISHA PESA ZANGU NA NILIANZISHA THREAD YA KUKAMPENIA WATU WASITUMIE MPESA HAHAHAHA WAKARUDISHA MAANA NILISHINDWA KABISA KUWAVUMILIA HALAF CUSTOMER CARE WANAKUJIBU KAMA WAPIGA RAMLI CHONGANISHI MAANA HATA HAWAELEWI ...A WALA BHapa nilipo natamani kupiga mtu yeyote wa Voda!