Tumia laptop yako kutengeneza wifi hotspot

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
678
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa kutumia laptop zetu ili tuweze kushare hio network ya laptop kwenye simu au laptop nyingine,

  1. Hakikisha laptop yako ina support wifi
  2. Download program hapa http://www.drivethelife.com/free-wifi-hotspot-creator.html
  3. Intall hio program
  4. attachment.php
  5. Done:sasa waeza kutumia wifi kwenye simu yako/ kifaa kingine
 
Attachments

  • sdsdsdsd.png
    sdsdsdsd.png
    8.8 KB · Views: 1,084
Kuna situation huwa zinatupata tunahitaji kutumia wifi kwenye simu na laptop zetu ila tunakuwa katika eneo lisilo na wifi, leo tunajifunza jinsi ya kujitengenezea wifi hotspot zetu binafsi kwa kutumia laptop zetu ili tuweze kushare hio network ya laptop kwenye simu au laptop nyingine,

  1. Hakikisha laptop yako ina support wifi
  2. Download program hapa http://www.drivethelife.com/free-wifi-hotspot-creator.html
  3. Intall hio program
  4. attachment.php
  5. Done:sasa waeza kutumia wifi kwenye simu yako/ kifaa kingine

Asante
 
Thanks...ntajaribu
 
Kwangu ilifanya kazi siku 2 tu, ya tatu ikawa ina connect vizuri na signal kubwa sana lakini hamna Internet access. Hata u switch mode, u restart WiFi hamna kitu.
Laptop haina tatizo, Internet sharing ipo vizuri nikitest speed yake ni zero.....!
 
Tafuta pia Connectify kwenye torrent

Connectify nayo kimeo. Ili upate kuitumia bila kizuizi lazma ulipie, vinginevyo connectify mpaka uwe umeunganisha na WiFi inayofanya kazi ndio na yenyewe ina fanya kazi. Hii ni sawa na sifuri maana kama una Wi-Fi inayofanaya kazi huhitaji connectify.

Ukilipia ndio unaweza kuunganisha WiFi ya windows network ya laptop yako bila kuhitaji working WiFi network za sehem nyngne.
 
Tumia version ya kwanza kabisa, inakubali kushare mobile data
 
Sasa connectify ya kazi gani kama simu zina mobile hotspot? nikitaka si narusha tu data kwa wifi au Bluetooth au USB na watu wana connect ilimradi wana password?
 
Kama kwako haina kazi usidownload. Sio software ya taifa kwamba usipoidownload utaadhibiwa, wenzako ambao wanaona kwao ina kazi wataidownload.
 
Connectify ni ya kishamba tu. Uzuri wake mpaka ununue Pro version vinginevyo ni uboya
 
Sasa connectify ya kazi gani kama simu zina mobile hotspot? nikitaka si narusha tu data kwa wifi au Bluetooth au USB na watu wana connect ilimradi wana password?

hii mada inahusu kushare wifi hotspot kwa kutumia laptop kwa wale wanaohitaji kujua jinsi ya kufanya hivi,, hebu mkuu nijuze "kurusha data" kwa usb cable kwa simu nyingine na nijuze hio password unaset vipi unavyorusha data kwa USB.....maana hii ndo naiskia kwako
 
hii mada inahusu kushare wifi hotspot kwa kutumia laptop kwa wale wanaohitaji kujua jinsi ya kufanya hiki kitu, hio hotspot ya simu hapa haihusiki unaongea kitu tofauti na maada kabisa,,,

Siongei kitu tofauti. Software km connectify haifanyi hiyo kitu mpaka iwe pro version. Vinginevyo normal version inakutaka uwe na working mobile data au working WiFi , yenyewe inaunganisha tu kutoka working network(wifi au mobile data sio laptop windows network) ila kutumia laptop yako kama kiunganishi tu, which is useless unless you buy a pro version
 
Connectify ni ya kishamba tu. Uzuri wake mpaka ununue Pro version vinginevyo ni uboya
Sababu kitu kimelenga watu wengine ndio uboya? Duh kazi ipo

Hivi unajua kushare wifi ni built in feature ya windows? Huhitaji software yoyote ya nje kuieka on hivyo hakuna haja ya wao kuieka kwenye software walichoongeza wao ni yale mambo ambayo windows haiwezi kufanya

Just nenda network and sharing halafu create new connection ya wifi utaweza share hivyo unavyovitaka wewe
 
Mi natumia hotspot ya windows au UC-wifi kutoka ucbrowser zinachakata mzigo bila zengwe
 
I managed to install the hotspot posted here but it cannot work without the laptop being connected to an internet, unless I got it wrong. Now you are suggesting another alternative, how does it work?
 
Back
Top Bottom