Tumia kwa uangalifu!

Tumia kwa uangalifu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
IMG-20171214-WA0114.jpg

Tumia toilet paper kwa uangalifu [emoji41][emoji41][emoji41]
 
HAHAHAhaha nimekikumbuka choo cha shuleni enzi za advance..

Unaingia toi ukiwa umevua shati ..maana ukizama nalo harufu inanatia kwenye nguo... na inzi watakufwata hadi class
 
Umenikumbusha Mkwawa complex Iringa. Tulikuwa tunakata "gogo" choo kinaitwa open roof unaenda na majani au karatasi. Baba Kadoda hoyeee!
 
Back
Top Bottom