Tumia kipaji chako

george williams

New Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Mi naimani kwenye kuzaliwa kila mmoja kazaliwa na kipaji chake binafsi ninavyo kama vitatu.

Yani mpira, kuimba na kutunga stori.

Uzi wangu ni nahitaj watu wa kuanzisha crew la music iwe hiphop.

Ninaweza pia rnb .

Kama post imekukwaza sory 4 that japo Tanzania ni nchi huru.
 
ww kweli junior member hata kuweka full name tu unaonekana wa kujaaa
 
Huwez kuwa na vipaji vitatu bhana,kipaji huwa ni kimoja tu mengine umedandia tu.
 

Kuna Kipaji cha kuigiza kuwa na Kipaji sasa we unakipaji gani?
 

oya vipi kundi la hiphop ka vp tutafute wadau,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…