Tumewagalagaza tena CCM!!

vijiji kuchukuliwa na cdm huo ndio mwanzo na msingi wa ukombozi kwa mtnzania mlala hoi.
 
Nadhani kwa majinahayo ya vijiji hapoa itakuwa ni Iringa? au wapi jamani
 
Hiki chama kweli ni makini, kama kinaanza kufanya vizuri hata vijijini!
Safi sana!!!!
 
Oh! haleluya! glory to God.asante wananchi wa vijiji vyote vilivyo choshwa na magamba,tumesha indicator mapema kuwaonyesha jinsi itakavyo kuwa 2015,serekali ya chama cha magamba iendelee kuajilio polis kwa wingi tu kulikom walimu na wabganga
 
mimi naona habari yenyewe haina mashiko, ni upupu mtupu; kwanza hivi ni vijiji vya wapi? Tanzania kweli?

Ni lazima isiwe na mashiko kwako. Kufanywa Chama cha Upinzani inauma kweli.
 
Mtaji wa ccm ni vijijini sasa sijui inakuwaje
 
Safi sana Chadema tunazidi kusonga mbele! Peopleee power!
 
Kwa hiyo ccm-b (cuf) wamepotea kabisa au? Mbona csikii tena zile mbwembwe za jino kwa jino na ngangali kinoma ambo ni itikadi za kiislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…