Tumewagalagaza tena CCM!!

Mnakoshindwa uchaguzi mbona hamleti taarifa humu???
 
Mnakoshindwa uchaguzi mbona hamleti taarifa humu???

Rejao,
Kazi ya kuleta taarifa maeneo ambayo MAGAMBA wameshinda ni kazi yako. Swali linarudi kwako kwa nini huwa uleti taarifa? Ukweli ni kwamba tangu chaguzi ndogo zianze baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, mmekuwa mkipoteza Kata, Vijiji, na Mitaa mlivyokuwa mnashikilia

Nawaoma CDM Wakamwonyeshe Waziri wa Megawati (Ngele...) Kuwa hela zake za Ufisadi na Kununua watu havitasaidia Kuchelewesha Ukombozi!! Hivyo waende wakampe Somo!!
 
Good newz! Go on CDM! CCM ya JK imeshindwa kuongoza hii Nchi, acha cc CDM tuichukue tuwakomboe Watanzania kutoka ktk lindi la umaskini uliosababishwa na ubinafsi wa watu wachache wakiongozwa na viongozi wote wa chama cha magamba kuanzia ikulu hadi vijijini! CDM ooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!
 
CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!
CCM huwa haishindi bali huwa ina - retain nafasi zake. CHADEMA inashinda kwa sababu huwa inachukua viti vilivyokuwa vinashikiliwa na CCM, huo ndiyo USHINDI!!
 
CCM huwa haishindi bali huwa ina - retain nafasi zake. CHADEMA inashinda kwa sababu huwa inachukua viti vilivyokuwa vinashikiliwa na CCM, huo ndiyo USHINDI!!
ok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???
 
ok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???
kweli bwana mpaka sasa wameshafukuza wenyeviti wa vijiji walioshinda 30!! CHADEMA bwana kwa kufukuzana... LOL
 
uchaguzi gani huo?
 
GreatThinkers,
Hii ni kauli ya Ujinga
Kidumu chama cha Mapinduzi-Kidumuuuuu

Hii ni kauli ya Uzembe
Hata mie sijui kwa nini Tanzania ni maskini

Na hii ni sauti ya Ushupavu
Peoplesssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…