Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.
Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!
Nawasilisha!!
uchaguzi umefanyika leo. usije ukawa umechanganya Udekwa na UkwegaDu, hòngera sana, naomba kujua, nilikuwa ukwega last month tar 18, na mwenyekiti alikuwepo, na akaniuzia soya ya njano, what happened then? Au ni uchaguzi wa nini maana hutuambia!
Hee CDM imefika hadi huko vichakani!
uchaguzi umefanyika leo. Usije ukawa umechanganya udekwa na ukwega
uchaguzi umefanyika leo. usije ukawa umechanganya Udekwa na Ukwega
Chukua hatua ndugu yangu.mbona mnanishawishi jamani,mjue sina chama hivyooo
hongera CDM
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.
Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!
Nawasilisha!!
Kwa pamoja tutaweza!!Hongera sana CDM. Hii kazi ndo naililia kila siku kuwa CDM waende vijijini ili 2015 tutwae nchi
mbona mnanishawishi jamani,mjue sina chama hivyooo
hongera CDM