Tumeumbwa Ili iweje?

Tumeumbwa Ili iweje?

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,235
Wakuu habari za wasaa huu,

Leo nimeulizwa swali la ghafla na mdogo Wangu , nimeshindwa Nini cha kumjibu
Nikaona sio Vibaya niwashirikishe , pengine nikaambulia Jambo,

KUSUDI HASA LA BINADAMU KUWEPO DUNIANI NI NINI?

KWANINI TUMEUMBWA ?

nasema michango yenu karibuni👊
 
Nadhani ni upuuzi tu,bora tusingekuwepo.ukiangalia mauaji yanayotokea sehemu mbalimbali duniani na tabu nyingi zilizopo kwa baadhi yetu utagundua kuna kitu kama upendeleo hivi
 
Mimi nimezaliwa, kuumbwa ni fumbo la imani kutuchanganyia mafile… embrace uhai ndio utajiri wenyewe, hell or heaven is an illusion.
 
Wakuu habari za wasaa huu,

Leo nimeulizwa swali la ghafla na mdogo Wangu , nimeshindwa Nini cha kumjibu
Nikaona sio Vibaya niwashirikishe , pengine nikaambulia Jambo,

KUSUDI HASA LA BINADAMU KUWEPO DUNIANI NI NINI?

KWANINI TUMEUMBWA ?

nasema michango yenu karibuni👊
Eron musk,Bill gate,Jack ma, Bakhressa,Diamond,
Hawa wote wametumia karamq na vipawa waliovyopewa na Mungu,kujifanya Dunia Iwe Bora,kwa kutoa ajira,kubuni tekinolojia zinazosaidia wanadamu,ebu fikiria zisingekuwrpo smart phone,Ndege,magari,internet,
Na wewe tumia karama yako kuifanya Dunia Iwe Bora,
Sio kuishi kama ngombe au mbwa,kula,kunya,na kulala tu,
 
1. Tumeubwa ili tumuwbudu Mungu maana Mungu hawezi kujiabudu mwenyewe.
2. Tumeubwa ili tumiliki na kutawala vile ambavyo Mungu ameviumba. Hapa duniani aliyepewa na Mungu uwakili wa kumiliki na kutawala ni mwanadamu pekee.
Seconded
 
Eron musk,Bill gate,Jack ma, Bakhressa,Diamond,
Hawa wote wametumia karamq na vipawa waliovyopewa na Mungu,kujifanya Dunia Iwe Bora,kwa kutoa ajira,kubuni tekinolojia zinazosaidia wanadamu,ebu fikiria zisingekuwrpo smart phone,Ndege,magari,internet,
Na wewe tumia karama yako kuifanya Dunia Iwe Bora,
Sio kuishi kama ngombe au mbwa,kula,kunya,na kulala tu,
we umefanya nini mbona hatukuoni au kazi kuwaquote wengine tu
 
Hatujaumbwa, ni mambo ya "evolution" ukitaka kujua zaidi mtafute Songhuru kwenye U tube.
 
Wakuu habari za wasaa huu,

Leo nimeulizwa swali la ghafla na mdogo Wangu , nimeshindwa Nini cha kumjibu
Nikaona sio Vibaya niwashirikishe , pengine nikaambulia Jambo,

KUSUDI HASA LA BINADAMU KUWEPO DUNIANI NI NINI?

KWANINI TUMEUMBWA ?

nasema michango yenu karibuni
( وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ )

الذاريات (56) Adh-Dhaariyat

Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.

Hili ndo lengo kuu aloletewa mwanadamu hpa ulimwenguni
 
Back
Top Bottom