Tumetoka mbali Sana, lakini hanithamini!

Tumetoka mbali Sana, lakini hanithamini!

Kwa nn ulikimbilia kuoa jaman wakati hauna kazi pole sana watu tunapiga mzigo na bado tunaona hazitoshi ww unajiongezea mzigo tafuta hata kibarua cha kubeba zege coz huko unaweza kupata chanel huko jichanganye 2 pole sana kk tangu 2011 nilikuwa 1yr that tm

Pole sana
 
Fanya yako shost, jiamini, maisha yanawezekana bila yeye.
Mimi mwenyewe yalinisibu kama yako, mtu nimemvumilia weeee kaja kupata kazi akaanza kunionyesha vituko vya kila rangi. piga moyo konde fanya yako.
Pia usisahau kuomba Mungu akupe mwenye kheri na wewe.

Pole sana
 
mmmh ndo wanaume hao sitavumilia tena mwanaume mimi miss chagga nahapa
 
Nimekua kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa na mpenzi wangu ambae ni mpenzi wangu wakwanza;maisha yalikuwa magumu lakini tulipambana na niliamini kwamba ipo Siku mambo yatakuwa sawa tuu kwa uwezo wa mwenyezi mungu baada ya miaka miwili kweli mwezangu alipata kazi nzuri maisha yakabadilika cha kushangaza toka apate kazi amekuwa akiniambia maneno ambayo siyaelewi "sio lazima mpaka ufe na Mimi; fanya yako "lakini tatizo ni kwamba bado na mpenda;lakini pia nahisi nikotayari kuendelea na maisha yangu please naombeni ushauri na nimezaa nae:

Ukitaka kuijua tabia ya mtu halisia, apate pesa. Usiwe na shaka, subiri afilisike mtaishi vizuri.
 
Piga chini mama S kakuchoka huyo na hizi sio zama za kupapatikia wanaume

Kirahisi hivyo?mapenzi kitu kingine mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mungu niondolee roho ya visasi.....
Ningekuwa wewe ningetumia kila njia afukuzwe kazi....then I pick myself up and move on.
Mtafute boss wake atie adabu
 
mwenzie hajali tena walikotoka...we mpaka anamuambia si lazima mpaka afe na yeye?..kuna mapenzi tena hapo?..okay,tukisema avumilie,mpaka lini?..maana it seems ashavumilia sana tu...ila yeye ndo mwenye maamuzi
Lakini kumbuka wametoka mbali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mwenzie hajali tena walikotoka...we mpaka anamuambia si lazima mpaka afe na yeye?..kuna mapenzi tena hapo?..okay,tukisema avumilie,mpaka lini?..maana it seems ashavumilia sana tu...ila yeye ndo mwenye maamuzi
mwallu nimeiona hii
 
Last edited by a moderator:
pole,,,na songa mbele kabla hujasubutu kukutwa

na sikuhzi usiogope kufumania.ogopa THE BUG\\\a.k.a ngoma
 
Back
Top Bottom